Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,552
- 52,287
- Thread starter
- #61
Sikubaliani na makonda katika mambo mengi nina admire ujasiri wake. Akiweza kuuchannel katika positive na kupunguza kiki, anaweza kuja kuwa kiongoz bora kwa taifa hapo mbeleni.
Wewe upo pamoja nami, Hayo yanarekebishika Mkuu.
Unajua hata kuifanya kiki ivume nako ni kipaji. Wapo viongozi wanajitahidi hata kwa hilo la Kiki na wameshindwa achilia mbali kushindwa kuleta maendeleo