mwanri

  1. eliesikia

    Tafakuri Tunduizi ya Uongozi: Mhe Mwanri na saikolojia ya anawaongoza

    Kwanza angalia na sikiliza vizuri hii video. Dawa ya Asubuhi. Utaona ni jinsi gani Mhe Mwanri anatumia saikolojia ya uongozi kuteka nyoyo na hisia za anaowaongoza. Katika hili anaongea na bodaboda ambao wako kwenye ugomvi na polisi. Nitafanya tafakuri tunduizi katika mambo machache 1. Mavazi...
Top