Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 22,760
- 19,995
Matusi na uchawi ndio tegemeo kubwa la masikini
Matusi na uchawi ndio tegemeo kubwa la masikini
laana ishafika , ni suala la muda tuWalaniwe makaburu weusi.
😆😆😆Ila sania kajisiriba kinyesi in less than 101 days she is gone ataanza kulialia kama mwenda zake kwa nini watanzania hawampendi yaani kelele tuza wananchi zitamfanya awe kama kilema wa akili ukimuangalia leo na jana ameshaanza kupwaya anachosema anaonekana nitapeli la kisiasa kama magufuli tu
tena Bawacha wanafanya hivi wakati Rais ni muislam !Lisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!
Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lissu?
Uislam umeingiaje Pro-Chadema JF hivi Waislam waliwakosea nini?tena Bawacha wanafanya hivi wakati Rais ni muislam !
Wakati wa mla kitimoto uliikimbia jf , leo umerudi , hatujasahauUislam umeingiaje Pro-Chadema JF hivi Waislam waliwakosea nini?
Nikimbie mimi anakimbia Lema na Lissu.Wakati wa mla kitimoto uliikimbia jf , leo umerudi , hatujasahau
Na SABAYA vp au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuachie Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe bado tunamuhitaji sana.
Naomba kuuliza, hivi Gaidi ana haki? Huko Marekani magaidi waliokamatwa kwa kuhisiwa walipelekwa wapi kama si Guantanamo Bay. Hawa Bawacha nao wana akili kama za kina Maria Sarungi na Fatma Karume.Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .
Video.
View attachment 1871504
View attachment 1871842
Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuachie Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe bado tunamuhitaji sana.
Mkuu, paragraph yote ni sentensi moja tu, mtu unasoma mpaka macho yanaona vimulimuli!Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .
Wewe naona umeachwa 'mangumbu' (mahameni) kumwita Samia rais wenu mpendwa. Makamanda wenzio wameshahama huko zamani, sasa hivi mama kawa mchungu kwao wanamrushia kila neno/tusi baya wanaloweza kufikiria.Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuachie Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe bado tunamuhitaji sana.
🤣🤣
🤣🤣Wewe naona umeachwa 'mangumbu' (mahameni) kumwita Samia rais wenu mpendwa. Makamanda wenzio wameshahama huko zamani, sasa hivi mama kawa mchungu kwao wanamrushia kila neno/tusi baya wanaloweza kufikiria.
House boy kama wewe nadhaniandiko duni sana