Kumbe mimi na wewe hatupo?

Hata sikuelewi.

Kwahiyo mtu akiwa kipofu mwanga unageuka kuwa memory? ? ?
Nop broo hata yeye atajua mwanga upo ila sensation ndo itapotea. Narudia sensation(kuuona) mwanga ndo kutatoweka. So simple mkuu
 
Ufahamu ndio umetambua kama nimejishika tako la kushoto au la kulia. Kwanini muda mwingine ubongo unajenga hisia kama kuna MIMI.
Yes, ni mchakato wa ubongo, ndo maana mtu anakuwa chizi ubongo ukipata ajali
 
Nop broo hata yeye atajua mwanga upo ila sensation ndo itapotea. Narudia sensation(kuuona) mwanga ndo kutatoweka. So simple mkuu
Kwahiyo mwanga upo irrespective unauona huuoni, unau feel huu feel, uko hai umekufa mwanga upo.

Si ndio!

Sio memory, sio ndoto, sio Hallucination.

It's a real separate entity that exists.

Si ndio?
 
Kwahiyo mwanga upo irrespective unauona huuoni, unau feel huu feel, uko hai umekufa mwanga upo.

Si ndio!

Sio memory, sio ndoto, sio Hallucination.

It's a real separate entity that exists.

Si ndio?
Yes. Mwanga ni matter. Ni particle au wave form. Mwanga ni kama dunia, ipo na itaendelea kuwepo. Ila kama ujuavyo ni energy ina change form ukiwasha moto unaona mwanga moto ukiungua na mwanga unapotea
 
Kwahiyo kama mwanga upo, ni real aspect of reality, sio ndoto, sio memory sio Hallucination,

upo whether unauona huuoni, unau perceive hauu perceive,

Na wewe umesema Nafsi ni kama mwanga,

what does this say about the nature of Nafsi?
 
It's like consciousness, ya kwamba unajua unajua, sijui umenipata. Ni kama entity inayo observe bila attachments. Ninetumia mwanga kwa sababu ya kuexplain. Na hiyo entity sio wewe,
 
Kuna movie iko YouTube inaitwa samadhi, maya: the illusion of self. Ni nzuri kuanzia haina mkoni wala nini. Ni wanatoa kama maelezo picha tu, mchawi kingereza
Hapa kwenye Lugha ndo wengi tunapokosa elimu kubwakubwa za ulimwengu huu maana maarifa mengi yameandikwa kwa lugha za kigeni. Kwa sisi waBongo ni wavivu wakusoma vitabu na ni ngumu kusoma kitabu chenye pages zaidi ya 200 cha Kingereza achilia mbali hata movies ambazo hazina subtitles zinatupa uvivu kuangalia. Wengine tukakimbilia kwenye move za kutafsiriwa angalau tunaambuliaga. Hiyo Movie Kama imetafsiriwa Kiswahili share hapa mkuu nipate maarifa😁😁
 
"Prove all things; hold fast that which is good."
1Thessalonians.5.21.KJV

"Pimeni kila kitu: Zingatieni kilicho chema"
1Wathesalonike.5.21.BHN

Msifurahie tu mafundisho mapya, mawazo mapya you've never heard before, very interesting, ya kutekenya masikio. Je hayo unayosikia ni ya kweli? ? ?

Au ni mafundisho ya mapepo kwa ajili ya kukupumbaza, kukuchanganya, kukuchelewesha usiitambue kweli? ?

Post in thread 'Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?' Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?
 
Sasa ubongo na memory na tako na mkono na mwili na roho na mawazo si ndio inakukamilisha wewe? Memory ndio ufahamu binadamu bila ufahamu ni mnyama tu.

Ukimchukua binadamu akalelewa na sokwe ni binadamu bado ila atakua hana utu.

Pia majini wale ni WATU kabsa ila sio binadamu.
Ili uwe wewe lazima kuna vitu vikamilike.
 
Sikupati mimi hili somo lako la mapepo.

Consciousness ni nini?

Kama sio mimi ni nani?
Nimeelezea kuhusu nafsi(consciousness) kwa mfumo wa mwanga. Kuna mtu kwenye comments alisema kuhusu windows ya komputa(analogy) so hizo zoote ni namna ya kuelezea consciousness.

Wewe sio vyote hivyo, wewe haupo.
 
Mara mungu hayupo leo hadi sisi hatupo sasa yupo nani
 
Hatuyafurahii tunajaribu Kuya apply kama ni viable... Sisi ni binadamu wenye utaishi na akili ya kupambanua mambo kuliko kufuata doctrine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…