Inafikirisha sana,Au sisi ni virusi kwenye tumbo kubwa la mnyama mmoja mkubwa , au tufanye hatupo au ni sir God anafanya majaribio vyenye tutakavyo kula lile tunda madhara yake yakatavyo tokea, au ni mimi naota lindoto lirefu tu wala sijamka bado?
Katazame the matrix ya NeoAu sisi ni virusi kwenye tumbo kubwa la mnyama mmoja mkubwa , au tufanye hatupo au ni sir God anafanya majaribio vyenye tutakavyo kula lile tunda madhara yake yakatavyo tokea, au ni mimi naota lindoto lirefu tu wala sijamka bado?
Au ni mtu mmoja tu anaota ndoto moja matata HD ambae ni mimi ukute hata kina red black na jf haipo ni ndoto yangu tuInafikirisha sana,
ni illusion tu hata Dunia haipo
Aaah au ni maigizo ya script iliyoandikwa na mtu fulani 🤔Au ni mtu mmoja tu anaota ndoto moja matata HD ambae ni mimi ukute hata kina red black na jf haipo ni ndoto yangu tu
Au tuende na analogy mawimbi ya bahari, kwamba kila mtu ni kama expression(waves) ila waves ni bahari hiyo hiyoAu ni mtu mmoja tu anaota ndoto moja matata HD ambae ni mimi ukute hata kina red black na jf haipo ni ndoto yangu tu
Fanya utafiti vizuri mtoa mada yupo sahihi.Kuna KautFiti kanasema kila walipo watu 10, watatu kati yao wana shida ya afya ya akili.....
Hako kaufiti kako sahihi kupitia hili andiko
mimi napenda kuliwa mbunyeUkichunguza kwa umakini bia ni sisi na sisi pia ni bia , vyote ni wewe na wewe ni vyote , na sisi hatupo na hatupo ni sisi
Angalia movie ya the matrix, ndo essence ya bandiko hili. Lakini pia unahitaji kusoma sana, ujue chimbuko lako, ujue kwa nini una exist.Kuna KautFiti kanasema kila walipo watu 10, watatu kati yao wana shida ya afya ya akili.....
Hako kaufiti kako sahihi kupitia hili andiko
Na nani?mimi napenda kuliwa mbunye
Added to bookmarks mkuu 🙏Soma hii mada ya huyu mwamba
Kama shule haipandi, utatoka kapa
If you want to walk 10 feet you have to walk 5 feet first. Before you can walk 5 feet you have to walk 2.5 feet first. Before you can walk 2.5 feet you have to walk 1.25 feet first.
and so on.
Before you move 1 inch you have to move 0.5 inch first. And then 0.25 inch.
and so on.
before you move 1 micron you have to move 0.5 micron first.
whatever distance you move you have to move half that distance first.
Forever. Think of the smallest distance you can half it. It's infinite. And you can't move through an infinite number of spaces in a finite time. Therefore all movement is...
- Exorcist
- Replies: 225
- Forum: Jamii Intelligence
Hii ndiyo maana halisi ya tunajilewesha 😂Ukichunguza kwa umakini bia ni sisi na sisi pia ni bia , vyote ni wewe na wewe ni vyote , na sisi hatupo na hatupo ni sisi
"Illusion of the self" (au kwa Kiswahili: Hadaa/Dhana ya Kudanganya ya "Mimi") ni dhana ya kifalsafa, kisaikolojia, na ya kineurosayansi inayosema kwamba: Huyo "mimi" unayemjua—ule utambulisho wako thabiti, wa kudumu, na unaojitegemea ndani ya kichwa chako—hayupo halisi jinsi unavyofikiria.
hii huwa inanitafakarisha sana, mtu kafa unaambiwa "mwili wa marehem utasafirishwa" imagine neno mwili wa marehem, sasa inamaana mwenye mwili kaenda wap kama umebaki mwili ndio unasafirishwa!? Haya movie inaanza unapoanza kutaja viungo katika mwili, mfano: kidole changu, tumbo langu, kichwa changu, miguu yangu, ........, taja vyote mwili mzima hadi mwisho kila kitu sasa huyo anaevimilik ni nan!?Naunga mkono hoja, hatupo kabisa vyote ni picha la kutunga tu
Moi itapata mteja mpya😀😀😀Hii akili usi itumie kuvuka barabara
Utasikia roho au nafsi ipumzike mahala pema peponi. Haya roho, mahala pema, peponi. Hapo ndo unabaki kushangaa haya maneno yalitoka wapi?hii huwa inanitafakarisha sana, mtu kafa unaambiwa "mwili wa marehem utasafirishwa" imagine neno mwili wa marehem, sasa inamaana mwenye mwili kaenda wap kama umebaki mwili ndio unasafirishwa!? Haya movie inaanza unapoanza kutaja viungo katika mwili, mfano: kidole changu, tumbo langu, kichwa changu, miguu yangu, ........, taja vyote mwili mzima hadi mwisho kila kitu sasa huyo anaevimilik ni nan!?