Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Mamndenyi na Zion Daughter kwanza samahani kabla sijatamka haya maneno.... Mie binafsi nimewaelewa sana wanajamvi kuwa wanachotaka sio pesa bali taarifa.

Kwanini hamkujitokeza hapo awali na kutupatieni hizi taarifa???? Mnakuja wakati huu ambapo wadau wana jazba??? Huu sio utu hata kidogo, Wakati Ruhazwe JR amepata matatizo Mu-sir alikuja na kutueleza na kila mmoja wetu alielewa. Na akatuhaidi kutupa feedback baada ya muda fulani.

Tulisubiri bila mafanikio, baadaye akaja kuibuka tena na taarifa zisizoeleweka. Ninyi wadada kama mlikuwa na taarifa na matatizo ya ruhazwe mngekuwa mnatu-update ili kuepusha migogoro humu jamvini.....
asante shemeji yangu umefunguka ile ilee!!
 
Madame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'

Mamie.. hakuna mtu anayedai pesa.. waanchodai ni hiki... Ninyi kama watu wake wa karibu mbona mnashindwa kutupa taarifa mpaka watu walipuke hapa ndipo mnajitokeza...????

Ingekuwa simple sana kama mngejitokeza mapema kabla ya uzi huu na kutujulisheni mwenzetu ana matatizo hata bila ya kuyaweka hadharani, hakuna mtu angeshout hapa...
 
23 January 2013 ame Log in humu Jf. Inabidi ifikie kipindi mtu unakua muwazi bana, kwani hatujui kuna ku kwama? Kuliko kukaa kimya mwishowe watu wanaingiwa na hofu.. Sie ni binadamu
Haya bana endeleeni kujua ukweli nao ukweli utawaweka huru
 
Kufaaaa!
Futi 6 na tani 10 itakuhusu.
daah! hapo tu ndipo napo yaona maisha matamu lakini ni mafupi.tatizo sio tani 10 na futi sita ila tatizo ni evelyne salt nitamuachia nani?
 
Last edited by a moderator:
Honey naomba laki 2 mwaaah!!!!

umepata honey chukua.jpg sema jingine mwaaah!
 
Mamndenyi na Zion Daughter kwanza samahani kabla sijatamka haya maneno.... Mie binafsi nimewaelewa sana wanajamvi kuwa wanachotaka sio pesa bali taarifa.

Kwanini hamkujitokeza hapo awali na kutupatieni hizi taarifa???? Mnakuja wakati huu ambapo wadau wana jazba??? Huu sio utu hata kidogo, Wakati Ruhazwe JR amepata matatizo Mu-sir alikuja na kutueleza na kila mmoja wetu alielewa. Na akatuhaidi kutupa feedback baada ya muda fulani.

Tulisubiri bila mafanikio, baadaye akaja kuibuka tena na taarifa zisizoeleweka. Ninyi wadada kama mlikuwa na taarifa na matatizo ya ruhazwe mngekuwa mnatu-update ili kuepusha migogoro humu jamvini.....

Hawana lolote hao zaidi ya kuonyesha unafiki wa wazi, tuko nao humu days in days out hawakusema kitu eti leo ndo wanajifanya wao ndo wana uchungu sana wa matatizo ya mtu..!?? mi naona ni unafiki tu. (Samahanini kama lugha yangu imewakwaza)
 
Last edited by a moderator:
Slave mie sio mtoto bana, alafu haya yote kasababisha Mamndenyi
ki uhalisia wewe mkubwa ila katika avatar wewe mtoto. Mamndenyi anajua sana tu ila ameamua kuchangamsha jukwaa si unajuwa mtu mzima dawa??? Mamndenyi leo jioni nakuja kwako kwa mazungumzo je utakuwa peke yako ili nije peke yangu? au kuna mbwa wakali hapo???
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa..

Heeee kumbe aliingia January 2013 Lol
Huyu alidhamiria aisee si bure!
Mbona amejiharibia kwa mambo ya kipuuzi?
Wenzake wanakimbia na mabilions yeye hata kilaki hakifiki? Duh
Kweli wanadamu tunatofautiana ujasiri!
Nawachukia watu wa namna hii!
Kwanini upoteze utu wako kwa pesa?

-----------------------------------

I miss you Kipipi[/QUOTE

Usiwe wa kwanza kuhukumu, huwezi jua.
 
Last edited by a moderator:
Slave sitaki kabisa wanaume wa mtandaoni
ngashtuka kapisa.

Back
Top Bottom