Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Chilli huyu Zion Daughter na Mamndenyi wake nafikiri hawa elewi watu wanacho hitaji hapa jamvini, wao wamekaa kusingizia matatizo, yani hayo matatizo aliyo nayo yana mfanya hata simu ashindwe kupokea au kutuma hata ujumbe? Kha!

Wewe noahism shida haina ngoja ngoja..matajiri na masikini wote hupata shida-sosi: Mbaraka Mwinshehe
 
Last edited by a moderator:
Madame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'

Leo humu kunoga.
Ila tuwe wakweli tu.
Ruhazwe JR akiri kuwa amefanya jambo baya.
Hao wanaomtetea mimi nawashangaa sana.
Uaminifu siku zote ni jambo dogo,lakini ukiliangalia kwa undani,ni kubwa na lina wigo mpana sana.
Kweli 143,000/= ikukimbize Jamvini?
Ruhazwe JR mimi namfahamu vizuri sana,tangu zamani, hana tabia hii, lakini sijui shetani gani kampitia.
Tuzidi kumuombea,labda ataibuka.
 
acha siasa bana, wote tuna shida na matatizo, lakini tusitumie kama ki mvuli cha kukosa uaminifu mbele za watu walio kuamini ..
Wewe noahism shida haina ngoja ngoja..matajiri na masikini wote hupata shida-sosi: Mbaraka Mwinshehe
 
Last edited by a moderator:
Madame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'

Hivi mbona umekomalia habari ya ku re fund..!?? nani kaomba kuwa re funded, kwa nini unakuwa mgumu kuelewa kiasi hicho!??
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi watu hawadai pesa bana, ila wanataka kujua ukweli kuhusu huyo ndugu.. January 2013 ali Log in na kwani hopokei simu? au ana matatizo kiasi kwamba hawezi hata kupokea simu, ukae ukijua wengine wana mpigia kumjulia hali yake na sio kwamba wanataka izo pesa.
Madame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'
 
Last edited by a moderator:
'……Jf never boring……..' The Boss
 
Last edited by a moderator:
mkuu unashawahi kumtembelea mgonjwa?? kama ushawahi ni namna gani wengine tutaweza mtembelea??

Ukiambiwa mtu ana shida sio lazima iwe ugonjwa tu..matatizo yao mengi inclusive ugonjwa..mie sijawahi kumtembelea na sababu inanifanya nisiwe mwepesi kuhukumu
 
Madame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'
mpenzi Mamndenyi msiba na sherehe ni tofauti kabisa kama member's wangethibitisha kuwa Ruhazwe JR anaumwa si ajabu wangeweza hata kumchangia zaidi ya hicho kiasi cha pesa wewe unasema unawataka watu walio toa pesa je? hawa warembo watalipwa na nani? embu nirudishie 200/ niliyotoa kama mdhamini wewe hii unaifikiriaje Last Activity
28th January 2013 16:35

ni pm buku mbili zangu nikanywee kiloba cha nyagi nao nao!!!
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi na Zion Daughter kwanza samahani kabla sijatamka haya maneno.... Mie binafsi nimewaelewa sana wanajamvi kuwa wanachotaka sio pesa bali taarifa.

Kwanini hamkujitokeza hapo awali na kutupatieni hizi taarifa???? Mnakuja wakati huu ambapo wadau wana jazba??? Huu sio utu hata kidogo, Wakati Ruhazwe JR amepata matatizo Mu-sir alikuja na kutueleza na kila mmoja wetu alielewa. Na akatuhaidi kutupa feedback baada ya muda fulani.

Tulisubiri bila mafanikio, baadaye akaja kuibuka tena na taarifa zisizoeleweka. Ninyi wadada kama mlikuwa na taarifa na matatizo ya ruhazwe mngekuwa mnatu-update ili kuepusha migogoro humu jamvini.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom