Kwa picha hii kuisha na stering kawa wa kichina inanifanya nisite kushiriki jambo lolote linalohusu JF MISS CHIT CHAT. Ruhazwe JR hakutenda vema. Just imagine kesho akatoa zile zawadi kwa washindi, je zina raha tena? COPY: charminglady Arabela.
Mamndenyi atakuwa anapafahamu
Heeee kumbe aliingia January 2013 Lol
Huyu alidhamiria aisee si bure!
Mbona amejiharibia kwa mambo ya kipuuzi?
Wenzake wanakimbia na mabilions yeye hata kilaki hakifiki? Duh
Kweli wanadamu tunatofautiana ujasiri!
Nawachukia watu wa namna hii!
Kwanini upoteze utu wako kwa pesa?
-----------------------------------
I miss you Kipipi
Baba V
kweli najua aliko kwa kuwa ni my son, Slave kwani mnapoambiwa Ruhazwe JR alipata matatizo, akiwa kwenye matatizo
na yeye akaugua, ni nini ambacho hauelewi, hiyo laki moja ndo inakutoa imani?
Unajali pesa kuliko utu? Mi mwenyewe nilisema natoa zawadi ya mshindi na. 3 lakini
na haraka haraka zako hata jina langu silioni,
why all these man? Hivi ulishawahi kupata shida kweli?
na wakati mwingine we are all grown up (Isipokuwa noahism ndo mtoto)
tuangalie pia shida za wenzetu,
Tell me who have already contributed some cash for that purpose so i may refund the same.
Chilli habari yako? Huyu ndugu yetu ame tufedhehesha sana, kashindwa kabisa kutunza thamani yake kwa pesa kama hiyo? Nitapo kua naenda geita nitapita hapo kuchukua sato wangu, maana naona umejisahaulisha kabisa..!
Mamndenyi inawezekana unayajua mengi kutokana na ukaribu wako naye, wengi wetu hatujui kitu, unatuambia nini katika hili....!?
Baba V
kweli najua aliko kwa kuwa ni my son, Slave kwani mnapoambiwa Ruhazwe JR alipata matatizo, akiwa kwenye matatizo
na yeye akaugua, ni nini ambacho hauelewi, hiyo laki moja ndo inakutoa imani?
Unajali pesa kuliko utu? Mi mwenyewe nilisema natoa zawadi ya mshindi na. 3 lakini
na haraka haraka zako hata jina langu silioni,
why all these man? Hivi ulishawahi kupata shida kweli?
na wakati mwingine we are all grown up (Isipokuwa noahism ndo mtoto)
tuangalie pia shida za wenzetu,
Tell me who have already contributed some cash for that purpose so i may refund the same.
Mamndenyi habari,
Ni kweli kwamba inawezekana huyu bwana akawa ana matatizo, lakini ifike tu hatua tuwe wawazi na kusema "Matatizo yake sasa yasiingiliane na shindano kwani yanaathiri shindano na kuomdoa kabisa ladha ya hili shindano".
Sio kwamba watu hawajali lakini watasubiri hata lini? What if atakua na matatizo mpaka 2015? Naomba unifikishie pole zangu kwa RUHanzwe Jr lakini mwambie zawadi za watu zinahitajika.
Baba V nitasema nini kwa watu wasiokuwa na imani wala huruma kwa mwana jamii mwenzetu kama hivi. Baba V unakumbuka ulikaa nyuma ya nondo siku tatu tu
ukakuta tayari kuna uzi wa kukudhoofisha,
je ungekaa mwezi na miezi ingekuwaje.
Mi naona la maana wale ambao walimpa Ruhazwe JR hela zao
kwa ajili ya zawadi wajiseme ili warudishiwe hiyo fedha.
Kipekee naudhamini sana utu wa Ruhazwe JR,
na tena bado nina imani naye.
dawa ya deni kulipa.