Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Waliotoa pesa zao waseme ili zirudishwe,
nimejikomiti i will refund kama yupo aliyetoa
aseme atoe kielelezo pesa inatafutwa lakini
uhai hautafutwi,
leteni vielelezo vya hela mliyotoa.

Nami nitasaidia hili...
Nina imani na Ruhwaze...
Nakumbuka wakati amelezwa alinambia, nilishindwa tu kwenda kumwona.
Na sidhani kama kuna mtu alikwisha toa fedha hizi. Na hata kama alitoa najua pengine zilimsaidia kwenye matibabu labda ameshindwa kureplace.
I will be the last one to judge him.
 
Remmy
images

Last edited by a moderator:
Mamndenyi na Zion Daughter kwanza samahani kabla sijatamka haya maneno.... Mie binafsi nimewaelewa sana wanajamvi kuwa wanachotaka sio pesa bali taarifa.

Kwanini hamkujitokeza hapo awali na kutupatieni hizi taarifa???? Mnakuja wakati huu ambapo wadau wana jazba??? Huu sio utu hata kidogo, Wakati Ruhazwe JR amepata matatizo Mu-sir alikuja na kutueleza na kila mmoja wetu alielewa. Na akatuhaidi kutupa feedback baada ya muda fulani.

Tulisubiri bila mafanikio, baadaye akaja kuibuka tena na taarifa zisizoeleweka. Ninyi wadada kama mlikuwa na taarifa na matatizo ya ruhazwe mngekuwa mnatu-update ili kuepusha migogoro humu jamvini.....
Mamito Yameisha.Mie naomba msamaha kwa kumtetea huyu Ruhazwe JR . Sio kwa kuwa natengua niliyoongea bali kwa kuwa natamani AMANI irejee.Namuomba Mungu huyu bwama arudi ili hii SINTOFAHAMU itoweke.

Always trustful and peaceful,
ZD (Binti Sayuni).
 
Last edited by a moderator:
jichagulie adhabu basi mh!
Mamito Yameisha.Mie naomba msamaha kwa kumtetea huyu Ruhazwe JR . Sio kwa kuwa natengua niliyoongea bali kwa kuwa natamani AMANI irejee.Namuomba Mungu huyu bwama arudi ili hii SINTOFAHAMU itoweke.

Always trustful and peaceful,
ZD (Binti Sayuni).
 
Last edited by a moderator:
Nami nitasaidia hili...
Nina imani na Ruhwaze...
Nakumbuka wakati amelezwa alinambia, nilishindwa tu kwenda kumwona.
Na sidhani kama kuna mtu alikwisha toa fedha hizi. Na hata kama alitoa najua pengine zilimsaidia kwenye matibabu labda ameshindwa kureplace.
I will be the last one to judge him.
Remmy nimekupenda .Actions talks louder than words.This is leadership spirit!
 
Last edited by a moderator:
Nami nitasaidia hili...
Nina imani na Ruhwaze...
Nakumbuka wakati amelezwa alinambia, nilishindwa tu kwenda kumwona.
Na sidhani kama kuna mtu alikwisha toa fedha hizi. Na hata kama alitoa najua pengine zilimsaidia kwenye matibabu labda ameshindwa kureplace.
I will be the last one to judge him.

Jioganaizini fasta basi ili mlete hizo zawadi za watu, sababu naona mnataka kupindisha ukweli na kutaka watu waonekane wanagombea mshiko, kitu ambacho si cha kweli.
Lakini kama mnataka iwe hivyo, let it be.
LIWALO NA LIWE, hakuna haja ya kuendelea kuelewesha watu wasiotaka kuelewa.
 
Wanaomtete wanafanya hivyo for reasons best known to them only, ni unafiki wanaoufanya,
 
Back
Top Bottom