Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Kuhusu Ruhazwe Jr na Miss chit chat

Usiwe na wasiwasi, mimi Kamuzu Banda bhanaa

wasi wasi sina ila najiuliza utakavyo kuwa unapumzika katika jamvi langu huku mie nikitafunwa funza ktk shimo la futi 6.
 
wewe mume wao.sijapenda jina lako, haiwezekani wake zetu wakuije hivyo. Naomba ufute hiyo mineno yako kabla maandamano makubwa hayajaanza ya kupinga jina lako.
 
Last edited by a moderator:
Slave
images

lol jamani kupendwa raha jamani Mamndenyi wanipenda vyovyote nilivyo! Asante
 
Last edited by a moderator:
Waliotoa pesa zao waseme ili zirudishwe,
nimejikomiti i will refund kama yupo aliyetoa
aseme atoe kielelezo pesa inatafutwa lakini
uhai hautafutwi,
leteni vielelezo vya hela mliyotoa.

mtarudisha na mda ulio potea kukampeni na kupiga kura? Heshima ya jf hasa chit chat mulio ipoteza mtailipia sh ngapi? Hii imekula kwenu hamnasuki.
 
Wanaomtete wanafanya hivyo for reasons best known to them only, ni unafiki wanaoufanya,
Ndelejha sintofunga domo langu mpaka nitakapo pata muafaka wa hili maana hao hao ndio wakwanza kulalamika zidi ya ufisadi nchini,lakini inapo tokea mtu wao kafisadi pia huwa wa kwanza kusema aaah! Hiyo si rushwa ila ni takrima .pia ifahamike kuwa jf kwa ujumla wake ni pamoja na chit chat forum panapotokea uharifu ktk jukwaa lolote basi tututambue kuwa jamiiforum tunaimaliza kwa mikono yetu wenyewe sehemu ambayo kwa %kubwa ni kimbilio la wanyonge badala yake itakuwa ni ya kujificha waovu. Haijarishi hapa ni chit chat lakini pia kwa ujumla wake ni the home of great thinker. Mean's yote ni jf. Mamndenyi nakuomba utambue kuwa jf inatazamwa na watu wengi duniani jambo lolote tunalo andika wengi wanalisoma hivyo nasihi kuwa wewe na hao ndiyo mnao mtambua Ruhazwe JR ila wengine hatumtambui, nakuomba Mamnenyi usiegemee upande wa mwanao Ruhazwe JR ila utumie fikra zako kama mtu baki. Narudia tena hapa mpaka kieleweke tofauti na hapo nitaitisha maandamano makubwa yatakayo anzia jukwaa la chit chat joke sayansi jf store,jf doctor,siasa, economy,na majukwaa yote kisha kwa Invisible ambapo tutamuomba kibari cha kwenda kumalizia maandamano yetu kwa @maxene mero ambae ni jf founder.
 
Last edited by a moderator:
Slave naona una mengine zaidi
siyo hilo tu.

Jioganaizini fasta basi ili mlete hizo zawadi za watu, sababu naona mnataka kupindisha ukweli na kutaka watu waonekane wanagombea mshiko, kitu ambacho si cha kweli.
Lakini kama mnataka iwe hivyo, let it be.
LIWALO NA LIWE, hakuna haja ya kuendelea kuelewesha watu wasiotaka kuelewa.

Liwalo na liwe.
Mu Sir alikuja na hoja kuwa Lundenga ana matatizo lkn atakuja kutolea maelezo baadae, mmemwona muongo, maelezo yapi mnataka?
Liwalo na liwe.
 
Nami nitasaidia hili...
Nina imani na Ruhwaze...
Nakumbuka wakati amelezwa alinambia, nilishindwa tu kwenda kumwona.
Na sidhani kama kuna mtu alikwisha toa fedha hizi. Na hata kama alitoa najua pengine zilimsaidia kwenye matibabu labda ameshindwa kureplace.
I will be the last one to judge him.
Remmy mie sina imani nae mpaka warembo wapewe chao.
 
Last edited by a moderator:
Mamito Yameisha.Mie naomba msamaha kwa kumtetea huyu Ruhazwe JR . Sio kwa kuwa natengua niliyoongea bali kwa kuwa natamani AMANI irejee.Namuomba Mungu huyu bwama arudi ili hii SINTOFAHAMU itoweke.

Always trustful and peaceful,
ZD (Binti Sayuni).
Zion Daughter safi sana kwa kutengua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom