Wewe ndo unasema kuhus uaminifu lkn wengi hapa wapo kipesa zaidi..
Anyway bado nasisitiza mashindano uchwara kama haya yasiendelee.Yanachafua hali ya hewa
Huyu jamaa kaharibu sana, nilijiunga JF wakati uchaguzi unaendelea nikaipenda chit chat kwa zoezi lile nikapiga kura, leo yamekuwa haya!??
We naweeeee!
Nicas Mtei fanya fasta kabla hasira zangu hazijaisha!
Wewe ndo unasema kuhus uaminifu lkn wengi hapa wapo kipesa zaidi..
Anyway bado nasisitiza mashindano uchwara kama haya yasiendelee.Yanachafua hali ya hewa
Unakosea, siyo mashindano uchwara bali wadhamini uchwara ndio wasipewe nafasi.
Tatizo sio shindano bali ni wadhamini uchwara kina 'dude'.
Bora angeanzisha mme mwenza Chimbuvu ama hata tajiri noahism.
Halafu nakereka sana mtu anapodhani watu wanalalamikia hela, vijisenti gani hivyo vya watu kulalamikia?! Watu wanakasirikia kutapeliwa, mtu hata akikutapeli jero inakera kuliko ukipoteza 500k.
Kuna mtu ana hamu ya kushushwa shipa hapa. Ngoja nimalizie kazi kwanza halafu nirudi. Atakomaje?
Umesomeka Mkuu.
Wengine humu Mashemeji zao, mabinamu zao na hata baba zao wadogo.
Kwa hyo utakuwa unampigia Mbuzi gitaa.
Kwa hiyo inawezekana ni mradi wa familia eeh..!?? kweli ninavyowaona Zion Daughter na Mamndenyi
Ngastuka,
Machale Kun'desa.