Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,170
- 8,622
Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu? Lissu ana hoja zenye mashiko. Maana taifa letu linahitaji Katiba mpya ili likae sawa.
Mbowe ni kibaraka wa CCM.