kibaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tindo

    Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

    Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria huo mkutano hebu watupe nini aliongea, na mahudhurio yalikuwaje?
  2. BARD AI

    Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

    Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
  3. S

    Kwa akili ya kawaida, itawezekana nchi za Ulaya Magharibu na Marekani kuiruhusu Russia kuikalia Ukraine au kuweka kibaraka wake?

    Nitakuwa wa mwishi kuamini hili litatokea kwa usalama wa nchi za NATO na Marekani maana kufanya hivyo, ni kuweka usalama wa nchi hizo rehani jambo ambalo kamwe hawatalikubali na ndio maana wanalazimika kumsaidia Ukraine wazi wazi hivi sasa. Hii vita inaweza kuchukua muda mrefu kinyume na...
  4. M

    Tunajifunza nini juu ya unafiki wa Zitto Kabwe? Kutoka mwanasiasa aliyejinasibu kupinga ufisadi hadi kuwa kibaraka wa mafisadi

    Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi. Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo. Leo hii amesahau kuwa alikuwa sio wa kujumuika na wanaCcm mafisadi na wazurumati? Kwa ajili ya...
  5. nyboma

    Je? Zitto Kabwe ni kibaraka wa awamu ya tano chini ya serikali ya Samia Suluhu Hassan

    Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma ripoti kwa kila hatua inavyoendeshwa. Na wameahidi hakuna kutuma misaada hadi pale watakapomuachia Mh...
  6. MAHANJU

    CCM kumuita Lissu kibaraka wa mabeberu haitusaidii. Watanzania ni waelewa sana

    CCM let's be matured, hii propaganda ya kumuita Tundu Lissu kibaraka wa mabeberu imebumba tutafute neno lingine zuri la kummaliza. Kutumia hili neno hakujabadili kitu kabisa mtaani kila ninapopita sioni sehemu yeyote akiitwa Bebebru zaidi ya kuitwa Mkombozi, mimi sijui ni mkombozi wa nini...
  7. Nyamsusa JB

    Uchaguzi 2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
  8. AUGUSTINO CHIWINGA

    Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

    Augustino Chiwinga 0756810804. Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma. Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu. Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa...
Back
Top Bottom