Huu uwezo wa kusema lazima umeutoa wapi kwani kura mnapiga wewe na familia yako kuichukia ccm sawa na kuwachukia wazazi wako.
Umejiunga kwa Post ya kwanza kuja kudanganya watu humu JF?Junior Member Array
Join Date : 2nd January 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given0
[h=2]Ccm kuondoka madarakani nirazima 2015[/h]
kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...
.![]()
Wewe CCM siyo mama yangu ukome
Cha msingi ujumbe umefika! wasukuma wajinga kama wewe wamebaki wachache sana huku kanda ya ziwa.
toka 2009 wamevuna tembo asilimia 64 nani awaache madarakani majambazi,majangiri wauza unga ,wachuna ngozi za albino they have to go hatutakubali deni la trilioni 33 liendee kwa kuangamiza kizazi kijacho lazima watang,oka tu
unaejiita simiyu nahis huwa una doz ya kuliwa kabang 2*3 ndo maana mawazo yako yameganda. nakutakia kuliwa kwema usiku huu panyabuku kikagura wee.
Naona mawasiliano yangu yanaingiliwa.... Haya we labda watafanikiwa!
Ni razima CCM waondoke Mura,vita ni vita mura.Unakuja mjini na jembe utarima rami Mura,mjini tunakuja na vyeti bwana.
kiswahili ndo kinapiga kura?
kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...
Sijui una waza nn!
Ila kwa CCM ushindi ni lazima.
Advertise subiria matokeo ya udiwani feb halafu linganisha asilimia za CCM na CDM!
Wapi umeona makada wa ccm wanaogopa? Bila shaka hao ni wapenzi wa Yanga ambao baada ya kula tano na mtani wake, sikafuata zile za nani mtani jembe bila shaka ndo wanaogopa kuvaa nguo za rangi za kijani na njano. Fanya utafiti utagunduakwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...