Haha..nilikuwa nasoma sehmu leo..kuhsu harakati za German na ujio wa ukomunist...ikawa bahati star TV wakaonyesha documentary tena ktk deutch Welle...nikafunga kitabu nikatazama,ilipoisha nikasoma kitabu, namaliza naingia JF nikijaribu angalia ni kigezo gani kinaweza saidia Thread idumu hata 15mins...na treanding za mafisadi..nakutana na hii thread na majibu ya Makene kwa Pasco na wengine...
Well, naona watu wanazidi kuthibitisha ushetani wa ujamaa...wale wajerumani waliongea jinsi gani habari zilikuwa za kipropaganda haraka sana..class na mafundisho yakawa yanaboa saana ila yakizidi pewa nafasi......Mimi siku zote huwa nasema ujamaa ni ushetani kwani,watu huw ana dini mpya ya Kitaifa..Serikali ikiwa malaika mkuu na rais ni mungu wao, ujamaa hustuggle kutawala watu kuanzia ktk akili hadi maisah ya kawaida ,unakula nini ,unaongea nini, una vaa nini, unazaa vipi etc....
Naona Mzee mwana Kijiji anaguza UTUMWA WA AKILI... ameongeze akweli nyingine ,wasomi wa kijanaa hawawezi badili nchi..hata kule uchina,wachina waliosoma magharibu ndio walibadili china,hata kule urusi, warusi waliosoma ktk mifumo ya kimagharibu na wale waliokuwa na chuki na ujamaa kabisa kwa kiasi cha kuwafanya wasiwe sehemu ya ujamaa...na hadi leo Putin anawatafuta ili awafilisi....
Wasomi wetu ni km akina muhongo...wanatafuta akila sababua ya kushindwa,kwa vile hawajui SKY IS THE LIMIT..ndio maana mengi alimpa za uso kuwa hajawahi tafuta hela ktk maisha yake ndio maana theory zake zinamuonyesha hawezi na kwa uvivu na uoga aliouficha ktk kiburi hatakai lowesha buti..
Wasomi wetu,waandish wetu, na watanzania wengi,wana taarifa za upade mmoja wa jinsi CCM inavyotisha...wanaona hakuna kitu nje ya CCM, wana theory nyingi sana za kuwasaidi kuaminsha woga wao,ujinga wao kw amanufaa ya CCM...hawajui kuwa CCM inaweza tisha kwa ujinga na hatari wanayoiweka nchi kw akupewa mamlaka makubwa hivi ila si kwamba ni wataalamu wa yale wanayoshindana na wengine.
Ukitaka jua watanzania wameaharibiwa akili jaribu toa wazo tofauti na fikra za kila siku....watakuja na theory kibao nyingi zikiwa ilogical ila zinawatosha watanzania pekee,ili kuonyesh akuwa wako sawa kuamini kuwa CCM haiwezi tolewa.Kuamin kuw ahakuna mbadala wa CCM wala hatokuwepo,kwa vile wote wana dhambi km CCM...