Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

Vijana watoitoa ccm jasho mwakani ngojeni muone. Mtahonga hela zote za kifisadi lakini vijana wa kileo wanataka mabadiliko ya kweli! Ccm kuondoka si ajabu lakini tusitegemee miujiza yataka wananchi kujitoa kwa moyo
 
kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...

Jifunze kiswahili kwanza,
sio sale ni sare
sela ni sera.
 
Hata kama kiswahili cha mleta mada ni kibovu, lakini ujumbe umewafikiya walengwa ambao ni nyie magamba na wachumia tumbo wa buku 7

Kwa utumbo unaoendelea kwenye chama kikuu cha upinzani 2015 jibu litapatikana
 
mtoa mada unaota, kwa mwenendo wa chadema ccm ni 100% wanarudi ikulu
 
2015 vicheko kwa wananchi wanachukua nchi yao wote tuseme CCM bye bye

Mama yangu kama itatokea chadema ikachukua 2015 nitatembea uchi wa mmyama kuanzi kibamba hadi kurasin kupitia kariakoo.,walah tena ,,,chadema ichukue nchi hahahaaa,labda jimbo la lema hapo sawa lakini si nchi hii yenye watu wenye akili timamu.
 
WE BABU WEWE ANGALIA KAULI ZAKO ZITAKUFUNGA... KUSOMA HUJUI YAANI HATA PICHA HUIONI????
 
Mama yangu kama itatokea chadema ikachukua 2015 nitatembea uchi wa mmyama kuanzi kibamba hadi kurasin kupitia kariakoo.,walah tena ,,,chadema ichukue nchi hahahaaa,labda jimbo la lema hapo sawa lakini si nchi hii yenye watu wenye akili timamu.

Wewe sema masabur yanakuwasha unahamu ya kupigwa mpini...hiyi sio kauli ya kutamkwa na mwanaume rijali..

Wewe utakuwa una lako jambo..pole sana
 
Jamani nyie mnaoitaka CCM mnataka itawale miaka yote, si watawale na vyama vingine,
 
Wewe sema masabur yanakuwasha unahamu ya kupigwa mpini...hiyi sio kauli ya kutamkwa na mwanaume rijali..

Wewe utakuwa una lako jambo..pole sana

Pouwa si neno la msingi haitakuja kutokea milele chadema kutawala watanzania wenye akili timamu labda machizi ,na nimesema hivyo kwa uhakika kabisa sababu haitakuja tokea milele chadema kushika hii nchi.
 
Back
Top Bottom