Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

Asante MM, uzi ni mrefu! Muda & nafasi ya kuusoma vinatafutwa.

Huyu jamaa sina maana kweli,nani kamwambia yupo hapa kusoma hadithi zake ndeefuu za sungura na fisi?! Nabii aache kuwa Mwingira awe yeye? Ama kweli nyakati za mwisho hizi.....
 
Chadema wapiga debe tu, haina wanachama ila washabiki tu. Msinipige mawe kwa kauli hiyo, ila ichunguzeni kwa umakini.

Nashukuru kaka umeliona Hilo! Hawa CDM wanapiga makelele sana wengi wao wapo vyumbani wamejifungia wanapost utumbo huu wakati Huku vijijini hawapo!

Nashukuru sana Mawazo amewaasa sana kwenda vijijini na kusema hakuna miujiza ya ushindi bila ya kwenda vijijini! Amepewa LIKE nyingi Kama mchezo wa kwenye FB lakini hakuna hata mmoja aliyesema nakuja kukuunga mkono!

CDM hakuna kitu hususan vijijini hawapo kabisa labda wapo Mianzini, jogoo street nk huko AR lakini Huku vijijini tunakoishi sisi hawapo kabisa!

Hapa kwetu Shelui Iramba ofisi ya kata imefunguliwa siku Dr Slaa alipokuwa anapita kutokea TBR na hata hivyo wanasema Ofisi hii ilikuwa inalipiwa na Kitila Mkumbo na sasa wameanza kudaiwa kwa kuwa Mkumbo hawezi kulipa tena!

Yaani kuna mambo kwenye Hiki chama ya ndani kabisa ambayo ni ya ajabu kabisa! Hawa wanaota kwenda peponi bila hata ya kufa! Hata Masiah alikufa kwanza sembuse nyie? Mnajidanganya sana tena mchana kweupe! Mtaingia Ikulu kwa kukesha kwenye mitandao?

Chukua hatua chukia chadema
 
Chadema IKULU nyeupe endeleeni kukesha kwenye mitandao kwani ndio itawapeleka magogoni!

Mmefurahi sana kuwambia hivyo? Maana mnapenda kujidanganya sana hata kwa mambo yasiyo wezekana! Haya Magogoni hiyo endeleeni kukesha mitandaoni!

Msije mkamlaumu mtu ndugu zangu hakuna ya miujiza ya ushindi pasi na kwenda vijijini na nyie hampo! Full stop
 
Mwanakijiji pls next time jitahidi sana kuandika habari kwa ufupi na yenye kueleweka! Akina Chris Lukosi hawatakuwa na muda kusoma haya mashairi ya Shaban Robert!

Go straight to the point present your idea achana na rhetorics kama ulivyoandika! Mwandishi bora ni yule anayoandika kitu kifupi kinachoeleweka! Na siyo full text ni CCM tuuuu ingawa nakipenda chama changu lakini uweke nafasi ya kukitaja na chama chako! Asante kwa kukifanyia promo CCM! Nape atakulipa katika hili

cc Ritz, Simiyu Yetu, The big show, faiza fox, Nape, Shelui nk
 
Umejiunga kwa Post ya kwanza kuja kudanganya watu humu JF?
njoo hapa Dom uone zilivyotapakaa, nenda Dar
acha kudanganya km ni huko Rorya Mura endeleeni na ndoto hizo

Acha kudanganya watu,nimetembelea mikoa yote ya kanda ya ziwa mwanza,simiyu,geita,kagera,shinyanga,mara pia mikoa ya kigoma,tabora,arusha,manyara,iringa na morogoro lakini hali ni ileile: magamba yanahofu kubwa ya kuzomewa pindi yavaapo nguo zao za kijani! Pia,nilimwuliza jamaa yangu mmoja ambaye ni katibu wa mbunge gamba kuwa kwa nini mh kashindwa kufanya mkutano hata wa kuwashukuru tu wananchi kwa kumchagua? Akanijibu kwa unyonge kuwa 1,ana hofu ya kuzomewa 2.kuandaa mkutano ni gharama sana kwani inabidi aandae posho za kuwalipa wahudhuriaji pamoja na kuwapa usafiri wa kuwaleta mkutanoni(mafuso).HIYO NDIO HALI HALISI YA CCM YA LEO!
 
Kijana! Hizo nyimbo za CDM imbeni kwenye zile ofisi zenu za wafadhili.

Udini na ukabila unauita simba! Au mpaka upepo ugeukie kwako ndio uone ubaya wake?

Yule mzee wenu uzee unampeleka pabaya mpaka anaamua kuingilia kazi ya mahakama! Au huo ndio usimba wenyewe!

Basi kama unatulazimisha kukubali usimba wa CDM basi NI SIMBA JIKE!

Lile DUME linasubiri tu! Jike lipige kelele weee!.likitulia linapigwa mimba ingine ya kukaa tumbo MIAKA 10!

sasa hizi kelele zenu zimebakisha miezi kadhaa tu kabla hamjapigwa mimba ingine itakayo wanyamazisha kwa awamu zingine mbili!

Ccm ni mboga chungu lakini sio mboga yenye sumu kama Cdm!

Huo udini n aukabila si ndio nyimbo zenu?Ndio mnachosubiri kuvitumia kummaliza asiyejua aendako Lowasa.hadi sasa hamjui tena tofauti ya matusi na ukweli....hamjui tofauti ya udini na kutimiza majukumu...Km wale wabunge wa CCM wanatukana Bungeni,,nao wanawaita CDM kuwa ndio wanatukana..sidhani km logic hiyo itakaa ibadilike.

Wewe m unadhani ni kelele..ni wazi kuwa umepofushwa sana na dhambi za CCM....wenzio wakubwa ktk magamba wanaweweseka kwelikweli....wanatumia hadi ugaidi ili kuimaliza CDM na kuwaogopesha watanzania...wewe bado unajipa moyo.NI wazi kuwa ni walewale wa kuelelewa mjini ..ndio maana hujui state ya CCM hadi leo.
 
mkuu Invisible na moderators wote, Hii kauli ya huyu nicholas ni VERY POWERFUL! Na kwa nidham ya jukwaa hili tulikuwa tunaomba huyu bwana ALETE USHAHIDI WA HAYO MADAI YAKE!
La si hivyo hili jukwaa litakuwa ni sehemu ya kumshutumu mtu yoyote kwa tuhumu zozote mbaya kama hizi za KIGAIDI.
 
Last edited by a moderator:

Una weweseka kwa ngumi ya usO uliyopewA ha ha ha ukweli ndo huo ccm wametumia mbinu nyingi sana kuidhoofisha cdm ugaid ,udin ,ukanda ,ukabila but for the God sake wamegonga mwamba 2015 tunasimika rasmi utawala huru wa cdm pale magogoni.
 
Nyie wana chagadema. Hili jukwaa sio kilabu cha mbege! Mtu anakuja hapa kuropoka hovyo!
Mnachoma na kulipua kwenye mikutano yenu wenyewe! Halafu mnalaumu Polisi!

Nyie mnadhani kwa mtindo huo mtapata wa kuwaonea huruma sio??

Nataka huyo mlevi aliyeropoka hapo juu athibitishe hayo aliosema la si hivyo mods wasipomchukulia hatua na sisi tukianza kuangusha machafu yenu hapa basi mtayakimbia.!

Meno meusi! Busara hakuna!
 
Mkuu Mwana kijiji, ULILOSEMA NI HAKIKA KABISA ila chamsingi ni kukaza uzi watu wamesha ikataa "CCM" sasa wanatakiwa waende hatua moja zaidi kujua Umuhimu wa kura yake ,thamani ya kura yake na Umuhimu wa kujiandikisha na Kupiga kura HAKIKA 2015 ,Kwa kizazi ninacho kiona na huu udokozi udokozi wa vikura ambao CCM ime uzoea kwa 2014-2015 itakuwa ngumu sana and in fact to quotes from Malcolm X ..IT WILL BE BULLETS OR BALLOTS...

AS DAY FOLLOWS NIGHT ,ndivyo CCM ilivyokwisha kutoka kwenye mioyo ya watanzania na taratiiibu inayoyoma kuelekea Kaburini. Kwa Utabiri huu ninacho weza kusema ni Amem,Amen Amina na IWE HIVYO MKUU
 
mkuu Invisible na moderators wote, Hii kauli ya huyu nicholas ni VERY POWERFUL! Na kwa nidham ya jukwaa hili tulikuwa tunaomba huyu bwana ALETE USHAHIDI WA HAYO MADAI YAKE!
La si hivyo hili jukwaa litakuwa ni sehemu ya kumshutumu mtu yoyote kwa tuhumu zozote mbaya kama hizi za KIGAIDI.

Kumbe mods watatumikishwa kirahisi hivi ehe...?Well ..kumbe nimeandika kitu VERY POWERFUL....ndio maana unaogopa hadi kuomba msaada wa mods...km CCM wanavyoomba msaada wa polisi.?

Kwanini udhani hii ndio mara ya kwanza ugaidi kutajwa humu....wana CDM wengi tuu wameitw amagaidi mara milioni humu na yote yamepita, tena sasa nini inashangaa neneo ugaidi kutajwa hapa?Kwa upuuzi wako ..sijasema hata ni vipi huo ugaidi umetumika tayari umeshaanza jishtukia..hembu rudi kasome upya nilichoandika..Nashukuru kwa kutupeleka step ahead kuelea kuinyooshea CCMmikono kuwa mnufaidikaji na ugaidi unaondelea nchini.

Tukitumia fikra zako tutakuwa wendawazimu nchi nzima.
 
Una weweseka kwa ngumi ya usO uliyopewA ha ha ha ukweli ndo huo ccm wametumia mbinu nyingi sana kuidhoofisha cdm ugaid ,udin ,ukanda ,ukabila but for the God sake wamegonga mwamba 2015 tunasimika rasmi utawala huru wa cdm pale magogoni.

Kihasilia CDM ni km Jeshi Dogo la kisasa kabisa na ambalo ni well organised na operating in very smart ways.
 
Nyie wana chagadema. Hili jukwaa sio kilabu cha mbege! Mtu anakuja hapa kuropoka hovyo!
Mnachoma na kulipua kwenye mikutano yenu wenyewe! Halafu mnalaumu Polisi!

Nyie mnadhani kwa mtindo huo mtapata wa kuwaonea huruma sio??

Nataka huyo mlevi aliyeropoka hapo juu athibitishe hayo aliosema la si hivyo mods wasipomchukulia hatua na sisi tukianza kuangusha machafu yenu hapa basi mtayakimbia.!

Meno meusi! Busara hakuna!

Hembu safisha hilo domo, na uanze litumia kuongea na kula na si kuharisha.....We kilambu cha mbege umeona ni kitu cha mizaha..kilabu gani ndio nzuri na ya heshima.....sasa wewe unayedai watu wanachoma na kulipua mikutano yao wenyewe ili iwe nini sasa..unaweza jiua halafu utegemee kuwa kiongozi duniani?
 
And I do appreciate if you are honest.
Na kama wewe ni honest kweli hayo maneno ya Nicholas unayaweka ktk category gani?
Hapo ndio ntajua na wewe ni.miongoni mwa wadini na wakabila au ni mtanzania mpenda amani.

Haha....nilikupa time ili ujieleze ....nimeona ulichopost baadae...kichwa maji kwelikweli...KUMBE UNAOMBA MODS WAKUSAIDIE KTK KUPAMBANA NA KITU POWERFUL.....?Nyie ndio mmetumia udini ,ukabila na ukanda mkidhani mtaokoa roho yenu sasa inakula kwenu.UChaguzi ujao utakuwa ni zamu ya CCM kuadhibiwa na ukabila..CDM watasema ktk kila mkutano,kwa staili kali kabisa watu wawamalizie Na mtakuwa mmemchinjia Lowasa maharini..kila kitu raia waaamini na kujionea wenyewe.
 
Sheikh Yahaya mwengine well tukuulize umetumwa ? Kila la kheri we shall see mie sina chama ila nadhani CCM kuanguka ni ngumu sana. Zaidi kwasababu Chadema ni chama hakijajipanga kuchukua nchi hata kidogo. Sana sana kutatokea machafuko tu hasa ya kidini mark my words......

Aksante sana ndg kwa mawazo yako muruwa sana. Lakini, niliposoma hiyo thread sikuona popote Mzee Mwanakijiji alipoitamka CDM. Sasa haya mapenzi makuubwa namna hii ya kuipenda ccm mpaka unashindwa kuelewa kuwa tuna vyama zaidi ya 22 leo TZ ukaona ni CDM tu inayoweza kuiangusha CCM lichama kooongwe kabisa liangushwe na chama cha msimu. Pole kaka, umetuotea mambo mazuri kabisa.
CDM hakuna vurugu ila vurugu zinapandwa na hilo lichama kongwe vurugu ikiongozwa na kutengenezwa na yule mnyama aliyetoroka msituni. Maana alisema, CDM itakufa kabla ya Pasaka.
Yu also mark ma words; Mwambie atakufa yeye aiache CDM hai. Cdm si mtu ni litaasisi lenye mizizi sasa mpaka kijijini. Ana nguvu gani ya kung'oa hiyo mizizi kabla ya pasaka?
Mwambieni huyo Muhishimiwa saana jitu la misituni kuwa hata kule kwake Bundi hawakupata mwakilishi wa kuipeperusha bendera ya ccm kwenye kinyang'anyiro cha Udiwani huu unaokuja.
Ajiulize, Why?? Kwa sababu unabii umeanza kutimia. Wanakijiji wameamka wanajua kumekucha CDM na kule ccm Kumekuchwa. Nawasilisha
 
Sheikh Yahaya mwengine well tukuulize umetumwa ? Kila la kheri we shall see mie sina chama ila nadhani CCM kuanguka ni ngumu sana. Zaidi kwasababu Chadema ni chama hakijajipanga kuchukua nchi hata kidogo. Sana sana kutatokea machafuko tu hasa ya kidini mark my words......

wewe ni kati ya wale ambao mleta mada amewazungumzia kama misukule, unamaana gani kusema cdm hawajajipanga kuchukua nchi, wewe ulitaka waende kwanza mwezini ndo wawe wamejiandaa? swala la cdm kuwashughulikia viongozi wanaokiuka misingi ya chama ndo ukomavu wenyewe kwani ni nani asiyejua kuwa hao viongozi waliofukuzwa walikuwa kweli wasaliti? Hata mimi nisiye na chama najua hivyo.
 
ImageUploadedByJamiiForums1389544811.273113.jpg
 
Unaposema machafuko yatatokea usisahau kuwa machafuko hutokana na chama tawala kutumia kila mbinu kuhakikisha kinabakia madarakani! Kama yatatokea machafiko basi ujue chanzo ni ccm! Mark my words as well!
 
Back
Top Bottom