hmjamii
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 627
- 313
Division five kwa uandishi huo ,mulugo amezalisha kizazi kibaya sana
Tatizo hatuna dira ya elimu kila waziri anakuja na mbwembwe zake si unakumbuka yale ya Mungai kutoa Commerce na Bookiping
Division five kwa uandishi huo ,mulugo amezalisha kizazi kibaya sana
nyie endeleeni kuvaa sale tu ccm itatawala milele.
Ccm inapendwa mno hapa tz.
Mimi nilidhani ni lazima kumbe razima.kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...
Pouwa si neno la msingi haitakuja kutokea milele chadema kutawala watanzania wenye akili timamu labda machizi ,na nimesema hivyo kwa uhakika kabisa sababu haitakuja tokea milele chadema kushika hii nchi.
KWANZA CCM HAIJAWAHI KUSHINDA CHAGUZI KUANZIA 1995... WAMEKUWA WAKIIBA KURA,,
Kiswahili chenyewe hujui.
KWANZA CCM HAIJAWAHI KUSHINDA CHAGUZI KUANZIA 1995... WAMEKUWA WAKIIBA KURA,,
Unafikiri mtasemaje sasa?Ndo hoja zenu nyie misukule ya chadomo.
ni kweli kbc inapendwa kama k vle
Ki ukweli chadema mtasubiri sanàaaaa.
MTAWEZA KUIBA TENA KURA KAMA MLIVOZOWEA??? SUBUTU.....
MTAWEZA KUIBA TENA KURA KAMA MLIVOZOWEA??? SUBUTU.....
Hayo ndo maneno ya mfa maji yashazoeleka hayo.
nini kinakupa ujasiri wa kusema hivyo?
Hayo ndo maneno ya mfa maji yashazoeleka hayo.
JIPE MOYO MKUU,, HUYO JK MWENYEWE ANAJUA KABUSA KWAMBA HAKUSHINDA
Unafikiri mtasemaje sasa?Ndo hoja zenu nyie misukule ya chadomo.
UMEONGEA AU UMETAPIKA
Mimi nilidhani ni lazima kumbe razima.
UMEONGEA AU UMETAPIKA
Jiheshimu
Ccm wauwaji wa tembo wetu lazima muondoke
Jiheshimu
CHIKA MOOOO
hahaha hahaha wakiongozwa na kinana
chika moooo
?