Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...
Ukiacha gongo pengine utakuja na kitu cha maana
 
kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...
Kiswahili siku hizi hakina mwenyewe!.. 'lazima' eti 'razima', 'sare' eti 'sale'
 
kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...
index.jpg
 
We jidanganye tu na kiswahili chako kibovu "razima","sale" tatizo kila mtu hata akiwa Utumbo wake anatengeneza thread wakati thread nyingine za kimbwiga kama hizi hivi kwani lazma upost kitu? Nyie mjiandae na matokeo ya 2015 naamini kuna watu watakufa na presha.
 
toka 2009 wamevuna tembo asilimia 64 nani awaache madarakani majambazi,majangiri wauza unga ,wachuna ngozi za albino they have to go hatutakubali deni la trilioni 33 liendee kwa kuangamiza kizazi kijacho lazima watang,oka tu
 
Ummm huu uzi ni mwiba mchungu sana na mkali mno kwa magamba Hahaha hahaha hahaha hahaha
 
We jidanganye tu na kiswahili chako kibovu "razima","sale" tatizo kila mtu hata akiwa Utumbo wake anatengeneza thread wakati thread nyingine za kimbwiga kama hizi hivi kwani lazma upost kitu? Nyie mjiandae na matokeo ya 2015 naamini kuna watu watakufa na presha.

Kiboko cha CCM na kaburi lao ni kuanzia 2014- kuelekea 2015 eti miaka 52 watu wanasafiri kati ya Kigoma na Dar es salaam kwa siku saba they have to go mumiani wa haki za watanzania hao
 
kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...[/QUOTkwakweli vyama vya upinza kuja kuitawala hii nchi labda kuanzia mwaka 3000.ccm ndo baba lenu hamna chama chenye ubavu wakuja kukiondoa madarakani
 
We jidanganye tu na kiswahili chako kibovu "razima","sale" tatizo kila mtu hata akiwa Utumbo wake anatengeneza thread wakati thread nyingine za kimbwiga kama hizi hivi kwani lazma upost kitu? Nyie mjiandae na matokeo ya 2015 naamini kuna watu watakufa na presha.

Hata kama kiswahili cha mleta mada ni kibovu, lakini ujumbe umewafikiya walengwa ambao ni nyie magamba na wachumia tumbo wa buku 7
 
kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...[/QUOTkwakweli vyama vya upinza kuja kuitawala hii nchi labda kuanzia mwaka 3000.ccm ndo baba lenu hamna chama chenye ubavu wakuja kukiondoa madarakani

2015 vicheko kwa wananchi wanachukua nchi yao wote tuseme CCM bye bye
 
kwasababu zamani watu walikuwa wanaogopa kutangaza sela za vyama vingine ata kuvaa sale za vyama vyaupinzani lakini sasahivi mambo yamebadilika tunaona makada na wanachama wa ccm wanaanza kuogopa kupita mijini wakiwa wamevaa sale za chama chao ...

Mh Mkuu uliandika hii thread ukiwa unasinzia nini?Ungenawa uso kwanza kabla ya ku-post!!
 
Back
Top Bottom