Kuajiriwa ni utumwa

Dunia inahitaji balance. Wawepo wa kujiajiri na wakuajiriwa. Hakuna muda utafika woote tukawa upande mmoja. Ifahamike tu kwamba kujiajiri ni mateso zaidi ya kuajiriwa.
 
Hakika mzee... Good luck
 
Hongera na Mungu akusimamie. Ila bado sana, bado upo kwenye excitement stage. Subiri ukate miaka mi4-5. Ukutane na kodi za TRA 3-4. Kisha rudi hapa utipe ushuhuda. Kila la kheri mkali
 
Yes, yes, yes na ndo ukoloni mambo leo tunaouzunngumzia. Unakuta jitu zima halina kazi halina plan.... Si bora hata likajitolee huko kipate experience. Mm kuna kitu najifunza sana kwa waliojiajiri huwa najenga mahusiano bora nao. Na chukua vingi sana kutoka kwao
 
Trust me kama ni kitu ambacho unakipenda na unataka kikupatie uhuru kitaleta huo uhuru... Ongeza juhudi, kuza biashara na utafika wakati dukani utakuwa unaenda kufunga mauzo tuu.
 
Kama bado matumizi yako ya kila siku unategemea hiyo hiyo biashara ,kwa nini usingeendelea kupiga kazi na ukafungua hilo duka la vifaa vya ujenzi ukaweka utaratibu na kanuni , halafu ukaajiri mtu hapo?
Mawazo ya kimaskini hayoo.
Hapo ataendelea kupata experience na atajua namna ya kupiga hatua kwa haraka maana anafanya yeye mwenyewe.

Huwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Na wengi wanafanya hivi huwa wanaishia kupoteza tu
 
Huyo alikuwa boss wako,
Na maboss wanachukua asilimia ngapi? πŸ˜‚

Acha kujipa mental excitement ndugu
 
Hao walio top wanachukua asilimia ngapi ya jamii?
Mbona huwa mnajizima data? Yaani unamshauri mtu aendelee kuajiriwa huku akiwa na matumaini ya kukunja hizo sijui 20M like ni rahisi tu.. πŸ˜‚ Kuna wamatumbi wengi kazi yao ni kuwa na delusional mindset. Hataki kutoka kwenye ajira ukimuuliza kwanini anaanza kuji compare na wakina MO, mawaziri na wengine stop the BS mzee.. Angalia maisha halisi, na sio tu walio kwenye sekta binafsi kuna mwalimu anatumikia kama mbwa na bado anaishi kimaskini anakuja kupata pesa ya mafao kasha kuwa mzee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…