Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kuna dem jamani alikula sana vihela vyangu sema alikua sio mchoyo alikua akija kukupa mambo lazima usahau shida za dunia ila akaja olewa hata sijui yuko wapi yule manzi .Ila km kula hela alikula sema ni kwa haki kabisa.Alikua akinipiga browjob nalia kisukuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyoko sana ww Husna wangu sijui uko wapi.

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1]Ulikuwa unakojoa hadi ubongo
 
Ni kweli ila ulipitiliza kaka. Na nina mashaka wewe hukuwa tu unamjali bali ulikuwa lofa... Kubali kataa.. Na ndio maana mwanaume mwenzio alikuwa haongi ila anahongwa hela unazomuhonga wewe demu wako.
Usituaminishe eti wew ni clever Sana ndomaana hauhongi, we sema huna hela tu ingekuwa unatengeneza pesa za kutosha usingeongea unafiki huo.
 
Usituaminishe eti wew ni clever Sana ndomaana hauhongi, we sema huna hela tu ingekuwa unatengeneza pesa za kutosha usingeongea unafiki huo.
Ndugu achana nae huyo, acha kumpa mavyeo kwa kumjibu comments zake. He is just another desperate nigga in JF mpotezee.
 
Lali 4 na 70 halafu akawa ananiletea nyodo. Mama yake tulikuwa tunaiva sana nilikuwa nampoza mara nyingi tu. Baadaye nikamwekea vikwazo vya kiuchumi na
Mwisho wa siku akaliwa na yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah, ni juzi kati tu nimehonga demu simu, alikuja mkoani ninaoishi sasa akapoteza simu ikanibidi niingie mfukoni nimnunulie simu, sijapewa hata mzingo akatembea mkoani kwao kimnya kimnya wala sijui nitampatia wapi, yaani siwezi honga tena maisha yangu yote
Smart au kiswaswadu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubwabwa wa shule [emoji117]I mean enzi zilee nipo advance...
Nilikuwa kiranja wa misosi , hivyobasi Huwa nahonga Ubwabwa Kwa matarajio ya kupendwa na mademu, , , siyo mademu tu mademu wakali ,,,

Maana Ile shule ilikuwa na njaa hatari...hivyo ikatokea nimewala mademu wengi kimasihara , Tena jikoni siyo jiko tu ni jiko la shule ,,

,na sometimes Huwa nawala kwenye stoo,, siyo stoo tu ,juu ya magunia ya mchele na mahindi ,, siyo mahindi
, mahindi yenye dumuzi wekundu ....

CONCLUSION: MADADA WANAPENDA KITONGA ,
HAWAPENDI SHIDA, UKIWA NA SHIDA HUWAPATI KBS, UKIWA UNAPENDA CHINI JITAHIDI UWE NA VISENTI, SIYO VISENTI JINA LA MTU , VISENTI YENYE ** ANISHA PESA, SIYO ** UNAYOJUA WEWE,. [emoji117]KUMAANISHA.

wadada mliokula Ubwabwa wangu popote mlipo msinilaumu Kwa kuwala pia ...nilikuwa natumia madaraka vzr kama Mzee wa msoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja makuruta wa jkt waje kuuvamia huu uzi na mambo yao ya depo
 
Nshahongwa sana asee
Mmoja I pad Air wakat imetoka tu Europe kwa mara ya kwanza... Norwegian kroner 7900 (badilisheni wenyewe mjue kwa tsh ilikuwa how much.) Utoto mwingi sikumpenda kibonge yule. So alipouliza anipe nini nkamtajia ipad.. akaonja tu nkampotezea...
Mwingine vitu vya ndani vyote...kitanda, TV, fridge, fan, sofa set, coffee table etc etc bado matumizi ya kila siku na vitu vingine vikubwa. Niliona simpendi nkamuacha tu..
Siku hizi sihongwi tena nna chenji zangu za tuvitu tudogo dogo ...labda nihongwe nyumba au gari sasa...
Na kipindi upo kwenye uhusiano na mjomba wako kama ulivyo confess kwenye ule uzi wako na alikuwa anakuhonga na yeye ? Au incest haina kuhongana ?
 
Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafsi kitu kikubwa nilichowah kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Mimi nimehonga ndoa
 
Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafsi kitu kikubwa nilichowah kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
A 3 bedroom house!
 
Aisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.

Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo
[emoji16][emoji16][emoji16]kafupi kama zakayo acha nichekee..maendeleo hayana chama
 
Mimi nilitengeneza mpaka makaburi ya wazazi wake wawili na pesa juu ila nilikuja kuchoka na uongo wake na kujiona kabisa kiafya nitakupa kwa pressure nikajitoa ,ila nashangaa Bado anatumia picha zangu kwenye Dp yake.

Nimemkataza lkn naona anaendelea,kilichobaki ni kumfungulia mashtaka kwa kutumia picha zangu bila ridhaa yangu
Anakukumbuka muhuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom