Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafa kitu kikubwa ninachowaz kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Mim kuhongwa.... Mara ya kwanza alinihonga laki 5 akanilipia na kodi mil Moja laki 2 ya miez 6....... Mara ya pili nkapewa mil Moja na nusu ya biashara sijui hata ilikwenda wapi[emoji26]..... Mara ya tatu akalipa tena Kodi kipind hicho nmeamia kweny kinyumba kidg alilipa laki 7....... Ilipofika zamu yangu ya kumhonga nlimuhonga mtoto mzuri wa kike..... Basi hadi Leo mambo pambe

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
"ubwabwa" upi mkuu?
Ubwabwa wa shule [emoji117]I mean enzi zilee nipo advance...
Nilikuwa kiranja wa misosi , hivyobasi Huwa nahonga Ubwabwa Kwa matarajio ya kupendwa na mademu, , , siyo mademu tu mademu wakali ,,,

Maana Ile shule ilikuwa na njaa hatari...hivyo ikatokea nimewala mademu wengi kimasihara , Tena jikoni siyo jiko tu ni jiko la shule ,,

,na sometimes Huwa nawala kwenye stoo,, siyo stoo tu ,juu ya magunia ya mchele na mahindi ,, siyo mahindi
, mahindi yenye dumuzi wekundu ....

CONCLUSION: MADADA WANAPENDA KITONGA ,
HAWAPENDI SHIDA, UKIWA NA SHIDA HUWAPATI KBS, UKIWA UNAPENDA CHINI JITAHIDI UWE NA VISENTI, SIYO VISENTI JINA LA MTU , VISENTI YENYE **** ANISHA PESA, SIYO **** UNAYOJUA WEWE,. [emoji117]KUMAANISHA.

wadada mliokula Ubwabwa wangu popote mlipo msinilaumu Kwa kuwala pia ...nilikuwa natumia madaraka vzr kama Mzee wa msoga.
 
680k, ilikua ada toka kwa mshua na ilifanya nifanye pepa la form 4 kama PC maana nilifukuzwa shule sina ada ikabidi nisome kigeto geto, wazazi walikuja kujua baadae sana imebaki kama miezi mitatu hivi niingie kwenye pepa.

Lidada lishenzi sana lile lilinikimbia likijua kabisa limeniachia msala likaamia dar na nyumbani sijawahigi aminika tena toka niipige io ada.
Aisee shehe unahatari
 
Niliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.

Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.

Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...

Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
🤣🤣🤣 Ningekuwa Mimi ningempokonya
 
Mkuu acha usinitoneshe vidonda.

Jana tu apa kunademu nimemuhonga Redio ya Bluetooth zile za kichina .
kwa shariti la kupewa mzigo mpka sasa iv simu zangu apokei na wala msg zangu ajibu .

Apa nasubiri jioni ifike niende kwao nikadai changu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
😁😁🤣🤣
 
Acha tu mzee na alinitia nuksi sana kwenye life langu... Majanga nayopitia sasa kiasi kikubwa alisababisha yeye...
Mwanamke akisha nijibu shit tu upendo nilionao kwake wote huyeyuka 🤣🤣🤣 uliwezaje kumvumilia mtu asiye na shukurani
 
Laki nne mzeya alafu ilivyokuja kuniuma eti demu hela yote kaenda kununua make up😭😭😭😭. Wiki nzima nimenuna mpaka akajua ikabidi ajaribu nipoze na mbususu...akajiungeza akamez shahawa
So alivyo meza sperm ndio ukatulia !? 🤣🤣🤣 Vijana wa hovyo mnashida
 
Aisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.

Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo
🤣🤣🤣🤣 Kmmk
 
Mimi nilitengeneza mpaka makaburi ya wazazi wake wawili na pesa juu ila nilikuja kuchoka na uongo wake na kujiona kabisa kiafya nitakupa kwa pressure nikajitoa ,ila nashangaa Bado anatumia picha zangu kwenye Dp yake.

Nimemkataza lkn naona anaendelea,kilichobaki ni kumfungulia mashtaka kwa kutumia picha zangu bila ridhaa yangu
🤣🤣🤣🥱🥱🤣🤣 MY Ribs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom