Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Hamna niliona kila mtu afanye yake. Muda unaenda hakuna malengo yoyote.
Malengo yako ni yapi? Kuolewa? Vipi upo tayari kuolewa na mwanaume ambaye hajui kugegeda vizuri? Maana wanaojua kugegeda vizur ndio kama hivyo lazima watapewa mbususu bure bila kuhonga hivyo huwezi kuwa peke yako
 
Kuna dem jamani alikula sana vihela vyangu sema alikua sio mchoyo alikua akija kukupa mambo lazima usahau shida za dunia ila akaja olewa hata sijui yuko wapi yule manzi .Ila km kula hela alikula sema ni kwa haki kabisa.Alikua akinipiga browjob nalia kisukuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyoko sana ww Husna wangu sijui uko wapi.

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume akinipenda, akinijali kwingne aende tu kikubwa asiniletee mabalaa ndani, kama anacheat acheat kwa akili sababu ni asilimia chache sana ya wanaume wanaoweza kuwa na mwanamke mmoja ila asinioneshe na sitamfuatilia kabisa.
 
Kuna dem jamani alikula sana vihela vyangu sema alikua sio mchoyo alikua akija kukupa mambo lazima usahau shida za dunia ila akaja olewa hata sijui yuko wapi yule manzi .Ila km kula hela alikula sema ni kwa haki kabisa.Alikua akinipiga browjob nalia kisukuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyoko sana ww Husna wangu sijui uko wapi.

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app

Nakubali kamanda [emoji23]
 
Mim kuhongwa.... Mara ya kwanza alinihonga laki 5 akanilipia na kodi mil Moja laki 2 ya miez 6....... Mara ya pili nkapewa mil Moja na nusu ya biashara sijui hata ilikwenda wapi[emoji26]..... Mara ya tatu akalipa tena Kodi kipind hicho nmeamia kweny kinyumba kidg alilipa laki 7....... Ilipofika zamu yangu ya kumhonga nlimuhonga mtoto mzuri wa kike..... Basi hadi Leo mambo pambe

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mama ulitoa kwa moyo mkunjufu sifa ziende kwako

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Ubwabwa wa shule [emoji117]I mean enzi zilee nipo advance...
Nilikuwa kiranja wa misosi , hivyobasi Huwa nahonga Ubwabwa Kwa matarajio ya kupendwa na mademu, , , siyo mademu tu mademu wakali ,,,

Maana Ile shule ilikuwa na njaa hatari...hivyo ikatokea nimewala mademu wengi kimasihara , Tena jikoni siyo jiko tu ni jiko la shule ,,

,na sometimes Huwa nawala kwenye stoo,, siyo stoo tu ,juu ya magunia ya mchele na mahindi ,, siyo mahindi
, mahindi yenye dumuzi wekundu ....

CONCLUSION: MADADA WANAPENDA KITONGA ,
HAWAPENDI SHIDA, UKIWA NA SHIDA HUWAPATI KBS, UKIWA UNAPENDA CHINI JITAHIDI UWE NA VISENTI, SIYO VISENTI JINA LA MTU , VISENTI YENYE ** ANISHA PESA, SIYO ** UNAYOJUA WEWE,. [emoji117]KUMAANISHA.

wadada mliokula Ubwabwa wangu popote mlipo msinilaumu Kwa kuwala pia ...nilikuwa natumia madaraka vzr kama Mzee wa msoga.
Shubaamiti [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Kuna mshamba mmoja ila ashakufa , yeye alikua anahonga Ubunge ,Ukurugenzi, Ukuu wa mkoa na wilaya etc .etc. kimsingi alikua ni janga kubwa la kitaifa.
Cha muhimu alikuwa na uhakika wakula mbususu...maana hilo ndio lengonla kuhonga
 
Mkuu Mimi nimepata hasara pengine zaidi ya hyo.
Nimezungumzia cash ya bank niliyotuma kwa slip 1.8.Milioni.
Bado zile nampa cash anakwenda nazo chuo..
Simu ndy usiseme kubadilisha kila muda tukionana.
Mara kuna friend Wangu anakuja huko dar mpe hiki.
Hizo laptop ndy ilikuwa kama deni nanunuwa.

Nakumbuka nilikuwa nikija na viatu toka SA nauza 15000.
Nikija na pairs 70 napunguza 30 pairs nampa auze chuoni kwao.

Na ukiangalia wakati huo kiwanja mbezi ni laki 5.
Kibaha ni laki tano kwa hekta,
Ningekuwa wp kwa sasa?
Hapo ndy naumia sn kwa huyu dada.

Alaaniwe popote alipo..
Sasa kwanini alaaniwe tena jamani[emoji2297][emoji2297]
 
Mimi nilitengeneza mpaka makaburi ya wazazi wake wawili na pesa juu ila nilikuja kuchoka na uongo wake na kujiona kabisa kiafya nitakupa kwa pressure nikajitoa ,ila nashangaa Bado anatumia picha zangu kwenye Dp yake.

Nimemkataza lkn naona anaendelea,kilichobaki ni kumfungulia mashtaka kwa kutumia picha zangu bila ridhaa yangu
Huyo anakuchota Mkuu.[emoji3][emoji3]

Kuna mmoja kwenye stori stori aliniambia akipata Danga huwa analiweka Profile Picture, na status Kila muda analiweka.. Afu kwenye setting anaset "Danga" pekee anayeweza kuona hizo updates[emoji3][emoji3]

Wanawake hawa, acha tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom