Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Dem wangu next week anasafiri niliplan kumpeleka kariakoo for shopping week hii nilipanga kuunguza ka laki mbili kabisa ila kupitia huu uzi simpeleki tena asee tho she loves me so so much, nitamtafutia sababu ila nauli nitampa tuu.
Safarini anakutana na vijana wa rikiboy. Wazee wa kula kimasihara. Pocket money ya safari anaenda kuila na kijana mmoja