Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

1: Moyo na muda wangu

2: Elimu .nimemsomesha mpaka chuo kikuu

3:Kujenga kwao

Baada ya kupata degree yake aliniambia "mimi ni mshamba tuu na siyo type yake"

NILIKUA MJINGA SANA, SASA HIVI MIMI NI MASIKINI NAJUTA SANA KUFAHAMIANA NAYE, ILA IPO SIKU NITAKUA JUU TENA.
 
Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafsi kitu kikubwa nilichowah kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??

23,000
 
1: Moyo na muda wangu

2: Elimu .nimemsomesha mpaka chuo kikuu

3:Kujenga kwao

Baada ya kupata degree yake aliniambia "mimi ni mshamba tuu na siyo type yake"

NILIKUA MJINGA SANA, SASA HIVI MIMI NI MASIKINI NAJUTA SANA KUFAHAMIANA NAYE, ILA IPO SIKU NITAKUA JUU TENA.

Pole sana mkuu.
 
Tena aliniacha kinyama Sana,

Kuna simu yake fulani iliharibika kioo,
ikabidi anipe nimbadilishie kioo,

Baada ya simu kupona, nikagunduwa madudu mengi Sana kwake kupitia phone's sms ambazo zilibaki kwenye simu yake.

Baby mbona Jana nimekuwekea chakula lakini umesusa ?
Najuwa hunipendi Ila mimi nakupenda Sana kuliko mwanaume yeyote..
Hakika wewe ndy chaguo langu.

Moja Kati ya sms zake niliizozikuta kwenye simu yake ,
Kwa kwl niliumia sn..
Nikiangalia hata pesa ya Kodi ya chumba anapoishi nalipa Mimi.

Baada ya kucopy namba ya yule jamaa mlengwa ,,
nikaamua kumpigia simu,

Jamaa akafunguka kwamba hana mipango na yule demu zaidi ya kugegeda tu.

Nikarudi kwa yule mrembo wa chuo kumpigia simu.
Nikamuuliza kuhusu SMS na nimempigia jamaa amekiri kuwa na mahusiano.

Kabla hajakaa simu yangu
Akaniambiya ,,

Sasa Mimi nikusaidiaje kwa Mfano?
Ndy mwisho wa mapenzi yetu hadi sasa mwaka wa 11 sijawahi kumuona hata kwa bahati mbaya.
Pole bro. Hivi ulishaoa kweli? Nahisi ulitokea kuchukia wanawake.
 
Shukran sn mkuu,
Lakini hata ukioa mkuu,,
Mwanamke habadiliki nature yake.

Tumeshuhudia watu wakikimbiwa na wake zao baada ya kuwafanyia kila kitu kwenye maisha.
Kweli mkuu. Tunayaona maofisini. Co-worker akimjali tu kwa kumsaidia vikazi na akitoka lunch anambebea take away basi anamchapa.

Wakati mumewe kamnunulia gari ya kujia ofisini, mavazi na bills zote za home anakamilisha lakini yote hayaoni.
 
Back
Top Bottom