toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,935
- 12,483
haha bora ucheze 2+ tu ujue mojaUnaona bora ungevitupa kwa muhindi
haha bora ucheze 2+ tu ujue mojaUnaona bora ungevitupa kwa muhindi
Vp hukula mbususuShilling laki mbili tasmili niliihonga kwa bint malingo,najuta sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah kuna wale tunaotoa na Hakuna tunachoambulia asee
Kheee take heart brooh.... Ulkuja kurud skul lkn?Dilidisko yeye akaendelea. Naskia ameshaolewa na ana watoto wawili
Nilimhonga moyo wanguHabari wana JF.
...FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Nokia asha...aisee nmekumbuka mbali 😁😁😁😁Niliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
This made my day 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.
Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo
Legendary 🏆🏆🏆Ukimpa attention na kumpa ushauri inatosha sana.
Kuhonga wanahongwa michepuko.
Mke au girlfriend mna share life itself
Umepigaa Pentagon kabisa 🤣!People huwa hamrealize kuwa material things ni nothing kabisa. Yani kumpa mtu nyumba, hela, gari, nguo, simu ni vitu visivyokuwa na maana in the long run.
Hivyo ni vitu vya kupita tu. Lakini kumpa upendo wako (moyo wako na muda wako) kuonyesha affection kwake, like caring (hata kama caring haiji na material things) ni hongo kubwa kuliko.
Kuamini kuwa unampenda mtu with the whole you, being ready to kill for them, ready to do anything for them. Even though inaweza kuwa sio physical/material thing but come to think of it ndio kitu ambacho mtu unaweza kumpatia umpendae ambacho ni uncomparable.
Ndio maana wanaokupenda over material things watakucheat over wale wanawafeel from within.
So people msijidanganye kuwa eti ukiwa materialistic like having money, owning shit like cars, houses and stuff ndio utapendwa.
You'll just end up losing everything.
Au nasema uongo ndugu yangu? Extrovert
Babalai shida ni kuwa tunatokea backgrounds mbalimbali. Kuna watu wana dream kumiliki vitu fulani wakati wenzao wamekua navyo. Hapo ndio changamoto.Umepigaa Pentagon kabisa 🤣!
Wanasema "Umasikini ndio hufanya watu wakipewa hela na vitu waone wanapendwa sana"
Kwa mtu mwenye kila kitu huwezi kumspoil na materials ukidhani ndio atakupenda bali atataka umuoneshe affection tu.
Yeah nashukuru sana familia niliokulia almost kila kitu kilikuwepo kipindi nakuwa. Vile vyote kuanzia appliances mpaka toys zilikuwepo uwani.Babalai shida ni kuwa tunatokea backgrounds mbalimbali. Kuna watu wana dream kumiliki vitu fulani wakati wenzao wamekua navyo. Hapo ndio changamoto.
Tupeane ramani bablaiYeah nashukuru sana familia niliokulia almost kila kitu kilikuwepo kipindi nakuwa. Vile vyote kuanzia appliances mpaka toys zilikuwepo uwani.
Najitahidi pia watoto wangu waje wazoee vitu toka watoto ili wakija kuwa watu wazima wasirubuniwe na lift na outing za weekends.
Usiwire chalyaangu ikiwa mukidee ntakusareTupeane ramani bablai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazakayo kanajipakulia tuAisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.
Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo