Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafa kitu kikubwa ninachowaz kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Ndoa na uaminifu!!
 
Je hongo ni sawa na rushwa?

Kwa hiyo Mwanaume huamini kuwa unaweza kupendwa bure kama haki isipokuwa mpaka utoe rushwa au hongo ndipo upate mwitikio wa kupendwa au kupewa ngono na mwanamke?
 
Duhhh hiyo toxic relationship hiyo ilikuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]🥱 Yuko wapi now days
Ameolewa na mjeshi na wana watoto wawili. Mimi bado senior bachelor nahaha na dunia [emoji1]
 
Kwa hiyo handsome boy alikuwa anajipigia mbususu bureeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah kuna watu wana bahati duniani
[emoji23][emoji23] twende kusali basi
 
Mwaka 2011 nilikuwa na mahusiano na dada mmoja wa chuo cha SAUT anaitwa H jina la Baba linaanzia S..
kwa sasa ni mwalimu wa secondary .
Ni mke wa mtu kwa sasa.

Dada nilimpenda Sana,,

Kipindi hicho kabla ya Mambo ya miamala ya simu.
Nilikuwa namtumia pesa kwenye ACC ya bank.
Nakumbuka niliangalia pay slip za bank zilifika kama 1.8 milioni..
Hizo ni za bank Tu,wacha zile za kumpa cash.
Mwaka fulani nilikuwa Greece nikamtumia euros 300 za matumizi ,
nusu azimie hapo ofisi za western union.

Nilikuwa nikitoka south namtumia kwa basi viatu made from SA pairs 30 auze hapo chuoni ili ajikimu na maisha..
Hizo simu za kila mara blackberry torch, carved/Samsung Corby na HTC ndy kama kawaida kubadilisha.

Na mwisho wa siku,
akanichoma na kitu chenye incha Kali moyoni.,
na kunimalizia kwa kunipiga na kitu kizito kisogoni.

Nilikwenda mwanza mara 2 tulionana mara 1 kwa kisingizio cha discussion.

Nikifikirie zile gharama roho inauma Sana.
Kwa kipindi kile ningenunuwa shamba bunju sasa napiga pesa..
 
Duh pole Sana. Ndo yalivyo haya Mambo
 
Wahenga walisema "usiwekeze saana kwa mchumba, mpe hela ambayo unajua hata mkiachana haitakuuma." Nina ndugu yangu alimhudumia mwanamke zaidi ya 20 millions anavyosema ila sio pesa ya kutoa kwa pamoja ni zile za umemnunulia simu leo, kesho anataka laptop ya 600k+ mwezi ujao kodi ya pango imeisha nayo 240k+ mara nguo viatu nk (na vitu kama simu likija tolea jipya au jamaa akinunua simu mpya demu akiipenda anachukua sijui zile nyingine alikua anauza au anawapa mashoga zake au wadogo zake) × miaka labda mitano au 7+ ya mahusiano mwamba alichunwa mno. Anabakia kulalamika tu. Na mwanamke ashaolewa na mwingine. Never mchumba hahudumiwi kama mke na hasomeshwi
 
Mwaka 2011 nilikuwa na mahusiano na dada mmoja wa chuo cha SAUT anaitwa H jina la Baba linaanzia S..
kwa sasa ni mwalimu wa secondary .
Ni mke wa mtu kwa sasa.

Dada nilimpenda Sana,,

Kipindi hicho kabla ya Mambo ya miamala ya simu.
Nilikuwa namtumia pesa kwenye ACC ya bank.
Nakumbuka niliangalia pay slip za bank zilifika kama 1.8 milioni..
Hizo ni za bank Tu,wacha zile za kumpa cash.
Mwaka fulani nilikuwa Greece nikamtumia euros 300 za matumizi ,
nusu azimie hapo ofisi za western union.

Nilikuwa nikitoka south namtumia kwa basi viatu made from SA pairs 30 auze hapo chuoni ili ajikimu na maisha..
Hizo simu za kila mara blackberry torch, carved/Samsung Corby na HTC ndy kama kawaida kubadilisha.

Na mwisho wa siku,
akanichoma na kitu chenye incha Kali moyoni.,
na kunimalizia kwa kunipiga na kitu kizito kisogoni.

Nilikwenda mwanza mara 2 tulionana mara 1 kwa kisingizio cha discussion.

Nikifikirie zile gharama roho inauma Sana.
Kwa kipindi kile ningenunuwa shamba bunju sasa napiga pesa..
Haya mambo ya mbali tabu sana watu wanakugegedea tuu mrembo wako.
Jamani tusijidanganye hawa viumbe ni wanapenda sana kugegedwa...
 
Mwaka 2011 nilikuwa na mahusiano na dada mmoja wa chuo cha SAUT anaitwa H jina la Baba linaanzia S..
kwa sasa ni mwalimu wa secondary .
Ni mke wa mtu kwa sasa.

Dada nilimpenda Sana,,

Kipindi hicho kabla ya Mambo ya miamala ya simu.
Nilikuwa namtumia pesa kwenye ACC ya bank.
Nakumbuka niliangalia pay slip za bank zilifika kama 1.8 milioni..
Hizo ni za bank Tu,wacha zile za kumpa cash.
Mwaka fulani nilikuwa Greece nikamtumia euros 300 za matumizi ,
nusu azimie hapo ofisi za western union.

Nilikuwa nikitoka south namtumia kwa basi viatu made from SA pairs 30 auze hapo chuoni ili ajikimu na maisha..
Hizo simu za kila mara blackberry torch, carved/Samsung Corby na HTC ndy kama kawaida kubadilisha.

Na mwisho wa siku,
akanichoma na kitu chenye incha Kali moyoni.,
na kunimalizia kwa kunipiga na kitu kizito kisogoni.

Nilikwenda mwanza mara 2 tulionana mara 1 kwa kisingizio cha discussion.

Nikifikirie zile gharama roho inauma Sana.
Kwa kipindi kile ningenunuwa shamba bunju sasa napiga pesa..

Yani mpk nimetetemeka sitowez kuhonga hivyo kamwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom