Ninunulie gari kwanzaMie nikikuhomga wala sitaviomba tena cha msingi uwe unanipa hiyo mbususu
Kha! Aisee hii mbona balaaa tena.Ninunulie gari kwanza
[emoji23]Kha! Aisee hii mbona balaaa tena.
Aisee nimeshindwa wacha wajenwenye uwezo
Ulihonga mawazo [emoji23] umetisha.Mawazo
Yaani humu jf hamna wanawake wa buku 50 wote ni wamillions[emoji23]
Hahaa lkn nje ya hapa ni wa buku 2Yaani humu jf hamna wanawake wa buku 50 wote ni wamillions
Wacha tuwasubirie huko kitaaaHahaa lkn nje ya hapa ni wa buku 2
HahaaWacha tuwasubirie huko kitaaa
Kumbe mtaani ndio kugumu hivyo ngoja nimshikilie kwa nguvu huyu niliyenae asiniache aiseeBaada ya hapo basi na huo ulikuwa mtaji ,
Kwanza nikikuta demu analeta vizinga huwa nampotezea mazima haijalishi nimetoka nae au bado,nimetumia pesa au bado.
Mitaji ya wanawake wengi haizidi 200,000 ,wa zaidi ya hapo ni wachache sana na wanakuwa wafanyabiashara..Kumbe mtaani ndio kugumu hivyo ngoja nimshikilie kwa nguvu huyu niliyenae asiniache aisee
Whatever, ila haiondoi ukweli ulikuwa bwege mtozeni plus phaller, na huyo mchumba wako alilijua hilo thats why aliku drive alivyotaka.Una bahati naheshimu huu mwezi mtukufu mkuu..
Ila nahisi kama unapakatwa.
Ni kweli ila ulipitiliza kaka. Na nina mashaka wewe hukuwa tu unamjali bali ulikuwa lofa... Kubali kataa.. Na ndio maana mwanaume mwenzio alikuwa haongi ila anahongwa hela unazomuhonga wewe demu wako.Hivi wewe bwege
,kumjali mwanamke ndy kuwa fala?
Mapenzi yakiisha yameisha Tu,,
Uwe unahonga au bahili.
Sasa kwa nini ulikuwa lofa kiasi hicho? Sorry mkuu lazima tukupe makavu leo, wote ni wanaume tunawekana sawa.Wewe pimbi,,
Mimi dar nimezaliwa,,
Sikuja hapa na mbio za mwenge.
Unamtetea wa nini huyu?Usiseme alikua fala, yeye alifanya kwa upendo kumbuka kuna muda unafika penzi linaweza isha.
dna ulimaanisha nini hapo??Nilimuhonga mpenzi wangu enzi hizo simu na viatu na tiketi ya kumwona dna kipindi hichoo nipo form 3
Nimemuambia hapo juu, kaishia kunitusi.!Alikukomesha,siku nyingine mtapata akili ..
Sijawahi tumia pesa kutongoza demu,never? Unalishwa maneno ukielewa ndio ntatoa pesa nikijiskia nayo kiasi nilicho willing kutoa..
Shida yenu hamna stamina ya kubalance hisia au kumshiti mwanamke
Hataki kuambiwa ukweli huyo jamaaWanawake huwa wanaona ni haki yao kuhongwa kwa sababu ya vitobo vyao.
Kwa hiyo chochote unachofanya wanaona ndio thamani ya kitobo Chao kwa hiyo hakunaga ile kitu inaitwa kukumbuka fadhila..
So uwe unatoa pesa uliyotayari kuipoteza na Bora umhurumie mwanamke mdomoni au pale akihitaji hiyo huruma yako sio wewe kuanza kujibebesha mizigo ya kindezi.
Mkome *****Toyota Vitz,
Na baada ya hapo aliniacha kwa dharau[emoji2298][emoji2298]
Sasa kama fala kwa nini usiachwe?Iphone 7 plus mwaka 2018
Yule kenge ila aliniacha