Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Jaman hongereni mliowah kuhomgwa na mliowah kuhonga
 
Kwan si anakupa utamu? Usifatishe maneno ya humu hao wanaokufanya uwaze hayo ukute wamehonga hadi figo.
Kwani wewe dada huo utamu Wa ngono huupati? Nimepitia comments karibia zote kwenye huu uzi, sijaona hata comment moja toka kwa mdada akisema amewahi kumuhonga mwanaume pesa kiasi fulani, hii inaonesha wanawake wengi tulionao kwenye mahusiano Wako na sisi basi tu, hawatupendi, wanatuuzia papuchi Kelsea mawardat Heaven Sent to yeye Yna2
 
Ikumbukwe kuwa hongo hutumika kwa wale ambao wanalazimisha ngono bila kuwa na penzi la dhati toka moyoni.

Angalie kwenye kamusi ya TUKI maana ya hongo!
 
Kwani wewe dada huo utamu Wa ngono huupati? Nimepitia comments karibia zote kwenye huu uzi, sijaona hata comment moja toka kwa mdada akisema amewahi kumuhonga mwanaume pesa kiasi fulani, hii inaonesha wanawake wengi tulionao kwenye mahusiano Wako na sisi basi tu, hawatupendi, wanatuuzia papuchi Kelsea mawardat Heaven Sent to yeye Yna2
Tushawahi ila hatuwez jitangaza
 
Kama unaweza honga mwanamke wewe honga kama haiwezekani acha. Na hayo mambo ya kuwa nanyi kimaslahi hata nyie mnakuaga na sisi wakati mwingine kututumia tu. Uamuzi ni wako.
 
Kama unaweza honga mwanamke wewe honga kama haiwezekani acha. Na hayo mambo ya kuwa nanyi kimaslahi hata nyie mnakuaga na sisi wakati mwingine kututumia tu. Uamuzi ni wako.

Dada angu na ww upo vzr [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chuo mwaka wakwanza .. nakumbuka wakati nimechaguliwa chuo nikaomba rafiki yangu ambaye amekaa Dar anitafutie dem basi bwana akanipa number yule dem tukaanza kuchart..

Basi tukawa wapenzi huku nikiwa na lengo la kutafuna mbususu... Sasa nafika Dar mshua alinipa kila kitu kwahiyo pesa ya boom sikujua cha kufanyia...

Basi boom limetoka nikamtafuta dem wangu maana alikua anataka simu.. tukaenda mlimani City anachangia simu za bei kinyama nikamkaataa.. nikamwambia twende kariakoo..

Kufika huko lengo langu nimnumnulie itel ambayo ata rafiki yangu alinunua kwa beri rahisi na ilikua smart ndio zilikua zinatokatoka... Basi nikatoa 150K ili awe na smart Whatsapp n.k maana alikua anatumia kiswaswadu...

Dem akaomba akakufahamu kwangu eh nkajua hapa mbususu itachakatwa nami nilikua muoga sanaa kwakua sikuwahi .. nikamwambia tutaonana siku nyingine na tukaagana

Basi kufika home kwao akanitumia text et simu yenyewe mbaya wakati kidume nimejipinda 150k... Nikamwambia itupe ata chooni au mpe mtu yoyote mi pia siitaki..

Kuanzia hapo sikua nawathamini wanawake kwamba nihonge pakubwa haizidi 50k ..ni huzuni kwakweli..
"Oya Mtapenda eee,huzuni kinoma mwanangu".
 
Wale wanaume wanaofikia kumdhuru mwanamke baadae huishia kwenye majuto.

Samehe tu,,

iwe kama hujawahi kukutana na mwanamke aina hyo.

Wanawake ni Sawa na samaki,,
Wapo wengi baharini /ziwani/mtoni wanasubiri kuvuliwa.
Mie kisasi ni lazima na sio option.
 
Nilishawahi kuhonga Iphone 11 pro max, nishawahi kuhongwa na demu milion 2 cash na manguo ya kutosha shop kwake na aliniahidi atanipa milion 8 baada ya miez mi3 ila kuna demu wa kaka angu alipeleka maneno ya unafki nikaachana na yule demu.

NB: Hiyo simu nilimuhonga demu mwingne kabsa.
 
Kama unaweza honga mwanamke wewe honga kama haiwezekani acha. Na hayo mambo ya kuwa nanyi kimaslahi hata nyie mnakuaga na sisi wakati mwingine kututumia tu. Uamuzi ni wako.
Eeh so tutumiane tuu au sio
 
Nili wahi kuhonga simu smartphone miaka ya 2018 yenye thamani ya 150k na bado nili achwa na ukizingatia nilikuwa na maisha magumu sana kiasi cha kwamba hiyo 150k ilikuwa ni ya thamani sana kwangu ila niliona bora nimpe yeye daah mapenzi ufala sana some times yule demu alikuja kuniacha baada ya miezi 3 tu toka nimhonge ile simu sababu kubwa ulikuwa ni rafiki yangu alikuwa an peleka umbea wote kwa demu ili amiliki yeye yaani jamaa alikuwa rafiki yangu wa kuzikana na kweli aka nizika bwana [emoji23][emoji119]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom