Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,227
- 35,300
Napewaga perfume za hadi 150k na mimi naenda kuzionga kama zawadi kwingine [emoji856]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
WANAWAKE na maajabu yahoo....DaaahNiliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
Zakayo huyuhuyu mtoza ushuruAisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.
Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo
Alikuwa hakupendi, ulikuwa kama mtumwa kwakeNiliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
Upo sahihi kabisaAlikuwa hakupendi, ulikuwa kama mtumwa kwake
Halafu mama yako umeshawahi kumpa pesa kiasi gani??.Shilling laki mbili tasmili niliihonga kwa bint malingo,najuta sana
Uliwahi kumtafuna??.Niliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
Daaah, ni juzi kati tu nimehonga demu simu, alikuja mkoani ninaoishi sasa akapoteza simu ikanibidi niingie mfukoni nimnunulie simu, sijapewa hata mzingo akatembea mkoani kwao kimnya kimnya wala sijui nitampatia wapi, yaani siwezi honga tena maisha yangu yote
Ulipigwa na kitu chenye but kichwani!Niliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
Ni kuingia uvinzaHivi kuhonga maana yake nini?
Hahahah, pumbu-avu! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Onsencha sana VampireeMkuu acha usinitoneshe vidonda.
Jana tu apa kunademu nimemuhonga Redio ya Bluetooth zile za kichina .
kwa shariti la kupewa mzigo mpka sasa iv simu zangu apokei na wala msg zangu ajibu .
Apa nasubiri jioni ifike niende kwao nikadai changu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Moyo wangu. Na tulivyoachana, nikasepa nao.Habari wana JF.
I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.
Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.
Binafa kitu kikubwa ninachowaz kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.
Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.
FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
Duh hukupata hasira mkuu?Niliwahi kumhonga dem wangu simu ya laki mbili na nusu.
Nakumbuka kipindi hiko nipo chuo halafu Blackberry ndio zipo kwenye trend kila mtu anataka atumie black berry ajiunge BBM.
Chuoni nilikua na pisi kali chuo kizima hakuna mpaka malecturer walikua wanamtolea macho. Alikuaga anatumia Nokia Asha. Mnyamwezi bumu lilivyotoka nikafunga safari mpaka Posta nikachomoa laki mbili na nusu nikanunua simu mpyaaaaa ktk boksi.. lengo nimpelekee kama surprise!!! Ilikua blackberry curve...
Nimefika hostel fasta nikazama room kwake, tukapiga story mbili tatu nikamtolea cm nikamwambia baby zawadi yako hii. Hakushtuka.. akaiangalia kama taka taka halafu akaniambia baby hii cm sijaipenda watu wengi wanatumia cm kama hii! Mie nataka HTC desire (wakati huo ilikua inauzwa 350k) [emoji18][emoji18][emoji18].. ila aliishi nayo hivyo hivyo mpaka ilipokuja kuharibika...
Game tough mkuu. Anayehongwa Wala hajistukiagiAisee nilihonga pasi