Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Mkuu ni kwamba mwanamke hata akupende vipi,
Muda wako ukifika ni lazima akutende.

Nakumbuka siku anaondoka kwenda chuo mwanza ,
Siku hyo alinililia kifuani kwangu,
Tena kilio cha kwi kwi,,

Akasema,
""Mwandende kweli naweza kuishi mbali na wewe?""

Huku akitokwa machozi.,

Sikuamini alivyobadilika.
Kubali ulikuwa phaller,,hakuna mwanamke anayemtenda mwanaume aliyempenda. Huyo hakukupenda
 
Kuna mshamba mmoja ila ashakufa , yeye alikua anahonga Ubunge ,Ukurugenzi, Ukuu wa mkoa na wilaya etc .etc. kimsingi alikua ni janga kubwa la kitaifa.
🤣🤣🤣🤣🤣 anahonga vyeo.?
 
Ila wanaume wa humu jaman kwa ubahili mmetisha
emoji23.png

Hadi wewe
 
Mwanaume akinipenda, akinijali kwingne aende tu kikubwa asiniletee mabalaa ndani, kama anacheat acheat kwa akili sababu ni asilimia chache sana ya wanaume wanaoweza kuwa na mwanamke mmoja ila asinioneshe na sitamfuatilia kabisa.
Naomba nisiikose nafasi hio adimu sana, tuyajenge bila kuchelewa nataka nipaki basi kabisa
 
Damu alipougua na ilikuwa ya mbuzi madaktari wakashtukia wakaimwaga ila yeye hakuambiwa
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Kabisaaaa...kwanza hamna ata shida ya kutongoza siku hizi...wee mwambie ataje dau lake ule mbususu basi.
Kwa hawa wa jf nasikia kima cha chini ni laki moja....labda watueleze kama kuna ukweli kwenye hilo

Sio kweli mkuu hata Elfu 10 unapiga papuchi hapa Jf,cha msingi njoo tu na mada nina milioni 100 nifanyie biashara gani [emoji851]mbinu zingine labda nikutumie Pm papuchi ni za bure kabisa
 
Kuhonga pote toka nimeanza hadi leo haijawahi fika 5mil
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom