Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

emoji16.png
P O L E
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] washamba ndio waliwao, uliingia dar kichwa kichwa eeeh?
Wewe pimbi,,
Mimi dar nimezaliwa,,

Sikuja hapa na mbio za mwenge.
 
Nilimuhonga mpenzi wangu enzi hizo simu na viatu na tiketi ya kumwona dna kipindi hichoo nipo form 3
 
Habari wana JF.

I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae.

Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka [emoji23] kila mtu anahonga kwa uwezo wake.

Binafsi kitu kikubwa nilichowah kumhonga kiumbe huyu mwanamke pesa ya kununua tv samsng flat 52’ sijui yupo wap huyu dada maskinii bora ningewk zangu hiyo tv magetoni nicheck zang cartoon tu.

Tunawapenda sana dada zetu bila nyinyi cc si kitu heshima iwe kwenu.

FUNGUKA KITU GANI UMEWAH KUMHONGA KIUMBE HUYU MWANAMKE??
50,000 😆😆😆😆
 
Aisee nilihonga pasi
Yule Dem shwain kweli Mimi nilijitoa kwake nikanunua pasi ili awe smart coz ndo kwanza alikua kaajiliwa lakin badae nikaja kujua bado ana mahusiano na kavulana kake ka chuo.

Nilimpiga tukio zito japo pasi nilimuachia.
Mwaka Jana niliona kaolewa na kajamaa kafupi Kama zakayo
Itakuuma Sana kila ukimuona hadi uzeeke kabla ya Umri.
 
Mwaka 2011 nilikuwa na mahusiano na dada mmoja wa chuo cha SAUT anaitwa H jina la Baba linaanzia S..
kwa sasa ni mwalimu wa secondary .
Ni mke wa mtu kwa sasa.

Dada nilimpenda Sana,,

Kipindi hicho kabla ya Mambo ya miamala ya simu.
Nilikuwa namtumia pesa kwenye ACC ya bank.
Nakumbuka niliangalia pay slip za bank zilifika kama 1.8 milioni..
Hizo ni za bank Tu,wacha zile za kumpa cash.
Mwaka fulani nilikuwa Greece nikamtumia euros 300 za matumizi ,
nusu azimie hapo ofisi za western union.

Nilikuwa nikitoka south namtumia kwa basi viatu made from SA pairs 30 auze hapo chuoni ili ajikimu na maisha..
Hizo simu za kila mara blackberry torch, carved/Samsung Corby na HTC ndy kama kawaida kubadilisha.

Na mwisho wa siku,
akanichoma na kitu chenye incha Kali moyoni.,
na kunimalizia kwa kunipiga na kitu kizito kisogoni.

Nilikwenda mwanza mara 2 tulionana mara 1 kwa kisingizio cha discussion.

Nikifikirie zile gharama roho inauma Sana.
Kwa kipindi kile ningenunuwa shamba bunju sasa napiga pesa..
Alikukomesha,siku nyingine mtapata akili ..

Sijawahi tumia pesa kutongoza demu,never? Unalishwa maneno ukielewa ndio ntatoa pesa nikijiskia nayo kiasi nilicho willing kutoa..

Shida yenu hamna stamina ya kubalance hisia au kumshiti mwanamke
 
Mm Sina diploma wa degree ya kuonga aise mm Ni mchumi San daraja la pili siongi mm kizembe at iwe vip kumpa demu. 200000 kisa mbusasa hpna sijawai
200k yote hiyo? Labda viwango vyako viko vizuri,aisee mimi sijawahi mpa mwanamke pesa zaidi ya 50,000 ..

Na hii 50,000 niliwahi mpa mmja tuu kama mtaji Ili aache kuomba omba na vizinga maana huwa nachukia na nakublock.
 
Ila mkuu,,elewa kuwa kwenye mapenzi ya kweli kuna huruma ndani yake.

Huwezi kuwa na furaha kama umpendae anahangaika kwa shida na uwezo wa kumsaidia unao.

Tatizo Lao wanawake haijulikani wanatafuta nini ktk mapnz..
Ukiwa na pesa watasema mapenzi sio pesa.
Ukiwa huna pesa watasema hawataki mwanaume suruali.

Basi mradi tu waendelee na usaliti wao wa mapenzi.
Wanawake huwa wanaona ni haki yao kuhongwa kwa sababu ya vitobo vyao.

Kwa hiyo chochote unachofanya wanaona ndio thamani ya kitobo Chao kwa hiyo hakunaga ile kitu inaitwa kukumbuka fadhila..

So uwe unatoa pesa uliyotayari kuipoteza na Bora umhurumie mwanamke mdomoni au pale akihitaji hiyo huruma yako sio wewe kuanza kujibebesha mizigo ya kindezi.
 
200k yote hiyo? Labda viwango vyako viko vizuri,aisee mimi sijawahi mpa mwanamke pesa zaidi ya 50,000 ..

Na hii 50,000 niliwahi mpa mmja tuu kama mtaji Ili aache kuomba omba na vizinga maana huwa nachukia na nakublock.
50,000 jumla au ya mara moja tu baada ya hapo basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom