Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kuna jamaa mmoja alikuwa na nyumba ndogo yake kampangia nyumba nzima vitu vya ndani vyote kagaramia na gari juu IST.

Jamaa yy ana malori ya mizigo, ana garage na maduka ya spea,sasa siku akamfumania hakupigizana nae kelele wala nini, kamnyang'anya gari, akawaita vijana wake wa garage watatu. Akawambia waingie ndani ya ile nyumba,wachukue kitu chochote wakitakacho.Wana wakajisevia na kusafisha wakamwachia nguo zake.
 
Jamaa yy ana malori ya mixigo, ana garage na maduka ya spea,sasa siku akamfumania hakupigizana nae kelele wala nini, kamnyang'anya gari, akawaita vijana wake wa garage watatu. Akawambia waingie ndani ya ile nyumba,wachukue kitu chochote wakitakacho.Wana wakajisevia na kusafisha wakamwachia nguo zake.
Ndo hivyo ko kumpa mwanamke vitu vingi sio guarantee so msijihangaishe Sana na mavitu na kuhonga.
 
Alikukomesha,siku nyingine mtapata akili ..

Sijawahi tumia pesa kutongoza demu,never? Unalishwa maneno ukielewa ndio ntatoa pesa nikijiskia nayo kiasi nilicho willing kutoa..

Shida yenu hamna stamina ya kubalance hisia au kumshiti mwanamke
Una umri gani mkuu?
Hata unifundishe mapenzi?

Bado hujakutana na mapenzi,
,endelea kusubiri.

Usije ukamdharau mwanaume anayemuhonga girlfriend wake.
 
Hizo ndizo kauli za kijinga ambazo zinawafanya mtaendelea kupigwa na kuja kulalama mitandaoni..

Wewe sio wa kwanza kusema hivyo,as for now am 35 old eti bado sijakutana na mapenzi 😂😂😂😂..

Kama miaka ya ujana yenye mihemko ndio hiyo inayoyoma nitakutana lini na hayo mapenzi ikiwa Niko kwenye majukumu na mda wa mihemko unazidi kuyoyoma.

Niliwahi kutana nayo once and from there nilishajua how to deal with,simple sana is just a matter of psychology strength ila kama huwezi kubalance matumizi ya akili na hisia umekwisha na itaendelea kupigwa hivyo hivyo hususani kama furaha yako inakamilishwa au kutegemea uwepo wa mtu mwingine.
 
Kipindi hicho nipo chuo ...na maisha ya chuo Kama mjuavyo kipindi Cha msoto na bajeti Kali kikifika maisha yanavyo kua.

Basi Kuna hiyo pisi ilikua chuo kingine na huko alikua anaishi ile ki hood na baadhi ya wanachuo wenzie wa ngazi ya certificate wakiume kwa wanawake .

Basi siku hiyo nilipigwa mzinga wa elfu 30 na alisema anashida ya msingi Basi kidume hapo Nina elfu 45 tu ambayo ilitakiwa inisogeze Kama wiki mbili hivi daa kutokana na shida ambayo alinieleza kiutu ikawa imenigusa Nika mpa 20 ..kiroho ngumu huku nikijua huko mbele nitapambana kiume .

Basi ndio hivyo nikawa nimebakiwa 25 safari ikiendele bwana wee jioni nimechili nazoom status za watu what's up ghafla inatokea status yake wapo room kwao mziki mkubwa halafu wapo pea wanakula Bata vinywaji Kama vyote na madiko mengine wanakula shangwe .....moyo ulia paaa yaani nimejinyima ili Hawa wapuuzi wale Bata aisee na kweli zile wiki mbili niliishi kifala Sana ndugu wasomaji.

Basi nikawa mpole tu Ila moyo unauma kichizi sikutaka ku react nikajifanya fala baada ya zile wiki mbili kuisha nikawa mchalo nikapata jeuri ya kumuita aje geto huku nikiwa nimejipanga tayari sikuhiyo niliisugua ile pussy ililia milio yote aisee alafu baada ya kumaliza nikamchana ukweli"sijawahi kuona mwanamke fala Kama wewe katika haya maisha na ukiamua kuniacha sepa tu" akajifanya kujinunisha pale na Mimi nikakaza baada ya wiki kazaa mbele akajirudisha na kusema amebadirika na amenielewa Basi ndio hivyo akawa mtumwa wangu

Nilicho jifunza maumivu ya kuhonga hayapo kwenye vitu vikubwa ...maana kinaweza kuwa kikubwa lkn mtu Alie kitoa kwake ni extra tu . Na unaweza ukahonga buku lkn Hilo buku linatoka kwenye mazingira magumu Sana Kama ile thumuni ya yule mama mjane..
 
Lazima demu alipatwa na butwaaa.
Ila inauma nasa umewekeza unamjali alafu demu anaenda kugawa mbususu na ukikumbuka kuwa kuna wakati wa kugegeduana ili chomoka na akirudisha mwenyewe ndio unaumia zaidi.

Wakina Kelsea na Evelyn Salt mkichepuka m.boo ikitoka msiirudishe wenyewe bwana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anairudisha game iendelee
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa na nyumba ndogo yake kampangia nyumba nzima vitu vya ndani vyote kagaramia na gari juu IST.

Jamaa yy ana malori ya mizigo, ana garage na maduka ya spea,sasa siku akamfumania hakupigizana nae kelele wala nini, kamnyang'anya gari, akawaita vijana wake wa garage watatu. Akawambia waingie ndani ya ile nyumba,wachukue kitu chochote wakitakacho.Wana wakajisevia na kusafisha wakamwachia nguo zake.
Yeah, hakuna kupigizana kelele
 
Kipindi hicho nipo chuo ...na maisha ya chuo Kama mjuavyo kipindi Cha msoto na bajeti Kali kikifika maisha yanavyo kua.

Basi Kuna hiyo pisi ilikua chuo kingine na huko alikua anaishi ile ki hood na baadhi ya wanachuo wenzie wa ngazi ya certificate wakiume kwa wanawake .

Basi siku hiyo nilipigwa mzinga wa elfu 30 na alisema anashida ya msingi Basi kidume hapo Nina elfu 45 tu ambayo ilitakiwa inisogeze Kama wiki mbili hivi daa kutokana na shida ambayo alinieleza kiutu ikawa imenigusa Nika mpa 20 ..kiroho ngumu huku nikijua huko mbele nitapambana kiume .

Basi ndio hivyo nikawa nimebakiwa 25 safari ikiendele bwana wee jioni nimechili nazoom status za watu what's up ghafla inatokea status yake wapo room kwao mziki mkubwa halafu wapo pea wanakula Bata vinywaji Kama vyote na madiko mengine wanakula shangwe .....moyo ulia paaa yaani nimejinyima ili Hawa wapuuzi wale Bata aisee na kweli zile wiki mbili niliishi kifala Sana ndugu wasomaji.

Basi nikawa mpole tu Ila moyo unauma kichizi sikutaka ku react nikajifanya fala baada ya zile wiki mbili kuisha nikawa mchalo nikapata jeuri ya kumuita aje geto huku nikiwa nimejipanga tayari sikuhiyo niliisugua ile pussy ililia milio yote aisee alafu baada ya kumaliza nikamchana ukweli"sijawahi kuona mwanamke fala Kama wewe katika haya maisha na ukiamua kuniacha sepa tu" akajifanya kujinunisha pale na Mimi nikakaza baada ya wiki kazaa mbele akajirudisha na kusema amebadirika na amenielewa Basi ndio hivyo akawa mtumwa wangu

Nilicho jifunza maumivu ya kuhonga hayapo kwenye vitu vikubwa ...maana kinaweza kuwa kikubwa lkn mtu Alie kitoa kwake ni extra tu . Na unaweza ukahonga buku lkn Hilo buku linatoka kwenye mazingira magumu Sana Kama ile thumuni ya yule mama mjane..
Ni kweli mkuu. Yawezekana ukahonga kidogo, Ila umejibana sana
 
Lazima demu alipatwa na butwaaa.
Ila inauma nasa umewekeza unamjali alafu demu anaenda kugawa mbususu na ukikumbuka kuwa kuna wakati wa kugegeduana ili chomoka na akirudisha mwenyewe ndio unaumia zaidi.

Wakina Kelsea na Evelyn Salt mkichepuka m.boo ikitoka msiirudishe wenyewe bwana
Kazi ipo [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom