Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,287
Huyu mwamba anafaa kuigwa maana hawa wenzetu jau saanaJamaa alikuwa na ukauzu level za Sgr
Huyu mwamba anafaa kuigwa maana hawa wenzetu jau saanaJamaa alikuwa na ukauzu level za Sgr
[emoji23][emoji23]Mkuyenge ze dyudyu
Na liwe fundisho kwako na kwa mbulula wengine [emoji16][emoji16][emoji16] si mnazani sifaMkuu Mimi nimepata hasara pengine zaidi ya hyo.
Nimezungumzia cash ya bank niliyotuma kwa slip 1.8.Milioni.
Bado zile nampa cash anakwenda nazo chuo..
Simu ndy usiseme kubadilisha kila muda tukionana.
Mara kuna friend Wangu anakuja huko dar mpe hiki.
Hizo laptop ndy ilikuwa kama deni nanunuwa.
Nakumbuka nilikuwa nikija na viatu toka SA nauza 15000.
Nikija na pairs 70 napunguza 30 pairs nampa auze chuoni kwao.
Na ukiangalia wakati huo kiwanja mbezi ni laki 5.
Kibaha ni laki tano kwa hekta,
Ningekuwa wp kwa sasa?
Hapo ndy naumia sn kwa huyu dada.
Alaaniwe popote alipo..
Aah nyie mna ulimwengu wenu bwana [emoji23] huko nje mnakua tofautiWanaume wa humu, ndio hao hao unaokutana nao mitaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duhh [emoji23]Lazima demu alipatwa na butwaaa.
Ila inauma nasa umewekeza unamjali alafu demu anaenda kugawa mbususu na ukikumbuka kuwa kuna wakati wa kugegeduana ili chomoka na akirudisha mwenyewe ndio unaumia zaidi.
Wakina Kelsea na Evelyn Salt mkichepuka m.boo ikitoka msiirudishe wenyewe bwana
Nyie mna ulimwengu wenuNashangaa wanasema wa jf ...kumbe sia ajabu tunakaa mtaa mmoja
Wee unaweza kuta huyo hadsome boy aliyekuwa anaipelekea moto mbususu ndio mie hapa 🤣🤣🤣🤣Nyie mna ulimwengu wenu bwana
Aah wapi [emoji23]Wee unaweza kuta huyo hadsome boy aliyekuwa anaipelekea moto mbususu ndio mie hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule namjua kuanzia muandiko toka zako[emoji23]Wee unaweza kuta huyo hadsome boy aliyekuwa anaipelekea moto mbususu ndio mie hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahahKwa mujibu wa kipato changu kitu kikubwa ambacho nilimuonga mwanamke kilikuwa na thamani ya shilingi laki nne na alfu sitini (460K
Na huyo niliyemuhonga hiko kitu ni mke wangu wa ndoa kabisa.
Kwa hiyo uamni kuwa mie ni mgegedaji mzuri pamoja na kibamia changu🤣🤣🤣🤣Aah wapi [emoji23]
Au kisa kanajiona kachaga na amekuona mshamba mshamba wa mademu?Kuna kadem chakichaga Hapa anataka simu iPhone 7 au 6s+ Ili anipe mzigo namuona sijui kanichukulia zoba kiasi ganiii
Ulipenda vibay weye🤣🤣🤣🤣Yule namjua kuanzia muandiko toka zako[emoji23]
SafiNishahonga sana simu hizi na pesa, ila kubwa zaidi nimehonga iphone x na laki saba taslim.
MafalaDaah kuna wale tunaotoa na Hakuna tunachoambulia asee
[emoji23][emoji23] niache bwanaUlipenda vibay weye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo mwanamke popote alipo akae kwa kutulia sana vinginevyo yatamkuta mazito.Ngoja niwape mkasa wangu
Katika watu wepesi kuhonga ni mimi kipindi sijapigwa na kitu kizito kichwani baada ya kupigwq na kitu kizito akili ili kaa sawa na nikaanza rasimi kuhonga ipasavyo ila kwa utaratibu hata akinipiga na kitu kizito hakuna anaweza fanya zaidi atajiharibia maisha yake ....
huyu nimekaa nae mwaka na miezi kadhaa nikaamua kuwekeza kwake..kwa sbb nimemuona nammudu.
Tv inch 43 laki 700k
friji 620k
dstv 74k na ufundi
mtungi wa gas 95k na kifaa chake
jiko la gas n frame 170k
cmu yake alitoa kiasi nikaongza n S9 + n 100k.
vingine nimesahau kodi ya alipopanga nimemwambia alipe baba yake au atafute anakojua nilimkuta anagodoro na kitanda na baazi ya vitu.
nikifika kwake kama kuna mtu yupo atatolewa lbda rfik zke wawepo kuibiwa kwenye mahusiano kupo hilo halini zuu kufanya maisha.
saivi nafikilia kununua sofa la watu wanne akalie kwa sababu ya tabia yake,uchi hanibanii na anapika vizuri hana usumbufu ila mimi ndio nazingua.
hivyo vitu vyote risiti na mashahidi ninao muda wowote anaweza mpiga na kitu kizito .
Nategemea miezi ijayo nimfanyie sherehe ya kuazliwa kwake nimemuambia sihitaji mchango wowote waje wale wanywe waondoke.
Safi kwa kukiri hiloUpo sahihi kabisa