Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,425
- 191,636
Kama alikuwa analipia misosi inatoshaHela ya mkononi ndio sikuwah kula ila mengne yeye ndio alikua anagharamia kama tukitoka kuanzia chakula na mengine.
Mimi nilimpenda ila mwenzangu sijui alinichukuliaje hilo anajua yeye.