Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Leo tutatukanwa na kuitwa majina yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mkuu mbwa imetoka wapi?
Mimi ni shahidi kwenye hili, Kwanini mara nyingi nyie wadada, tukiwahonga pesa na kuwaonesha upendo wa kweli, mnatupiga na vitu vizito kichwani na kutuona mafala, Yani utakuta labda unavunja benki na kujitutumua, unamnunulia mdada kitu fulani kwa upendo, halafu hapo hapo anakujibu kunya na kwa ukatili, hivi huo ni u-lusifa, au ushetani wa aina gani? Kama humpendi Mtu atleast kuwa gentle and honest about it.

Nimekuja gundua binadamu mwanamke na hata sisi wanaume, hajali ni jinsi gani unampenda, bali anajali kipi anafaidika toka kwako kipesa au anakupenda vipi, nimegundua hata nikihonga gari, nikiandika sms refu kila siku kama gazeti ya kuonyesha nampenda, nikibembeleza, nikipiga simu kila mara na kumfuata fata mwanamke, kama huyo mwanamke hanipendi hio ni kazi bure, kwahiyo sahivi sijichoshi kuonyesha upendo, natongoza Muda mfupi baadae napita hivi.. Espy Atoto Yna2 Kelsea mawardat mzabzab Extrovert
 
Uko sahihi yani, nilishawahusia vijana humu kama ukiona demu wako hata kutoa jero yake tu kukununulia pepsi analalamika bala jua hamna mtu hapo.
 
Mimi ni shahidi kwenye hili, Kwanini mara nyingi nyie wadada, tukiwahonga pesa na kuwaonesha upendo wa kweli, mnatupiga na vitu vizito kichwani na kutuona mafala, Yani utakuta labda unavunja benki na kujitutumua, unamnunulia mdada kitu fulani kwa upendo, halafu hapo hapo anakujibu kunya na kwa ukatili, hivi huo ni u-lusifa, au ushetani wa aina gani? Kama humpendi Mtu atleast kuwa gentle and honest about it.

Nimekuja gundua binadamu mwanamke na hata sisi wanaume, hajali ni jinsi gani unampenda, bali anajali kipi anafaidika toka kwako kipesa au anakupenda vipi, nimegundua hata nikihonga gari, nikiandika sms refu kila siku kama gazeti ya kuonyesha nampenda, nikibembeleza, nikipiga simu kila mara na kumfuata fata mwanamke, kama huyo mwanamke hanipendi hio ni kazi bure, kwahiyo sahivi sijichoshi kuonyesha upendo, natongoza Muda mfupi baadae napita hivi.. Espy Atoto Yna2 Kelsea mawardat mzabzab Extrovert
Hapo chini sasa ndio umekuja na jibu, mwanamke kama hakupendi ni hakupendi hata umhonge dunia.

Kuwa na mtu anaekuelewa kweli hutokutana na hizo sarakasi.
 
Habari naomba nikuhonge
 
Mimi ni shahidi kwenye hili, Kwanini mara nyingi nyie wadada, tukiwahonga pesa na kuwaonesha upendo wa kweli, mnatupiga na vitu vizito kichwani na kutuona mafala, Yani utakuta labda unavunja benki na kujitutumua, unamnunulia mdada kitu fulani kwa upendo, halafu hapo hapo anakujibu kunya na kwa ukatili, hivi huo ni u-lusifa, au ushetani wa aina gani? Kama humpendi Mtu atleast kuwa gentle and honest about it.

Nimekuja gundua binadamu mwanamke na hata sisi wanaume, hajali ni jinsi gani unampenda, bali anajali kipi anafaidika toka kwako kipesa au anakupenda vipi, nimegundua hata nikihonga gari, nikiandika sms refu kila siku kama gazeti ya kuonyesha nampenda, nikibembeleza, nikipiga simu kila mara na kumfuata fata mwanamke, kama huyo mwanamke hanipendi hio ni kazi bure, kwahiyo sahivi sijichoshi kuonyesha upendo, natongoza Muda mfupi baadae napita hivi.. Espy Atoto Yna2 Kelsea mawardat mzabzab Extrovert

Pole,Kama hupendwi,hupendwi tu ndugu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaaaa...kwanza hamna ata shida ya kutongoza siku hizi...wee mwambie ataje dau lake ule mbususu basi.
Kwa hawa wa jf nasikia kima cha chini ni laki moja....labda watueleze kama kuna ukweli kwenye hilo
 
Mkuu acha usinitoneshe vidonda.

Jana tu apa kunademu nimemuhonga Redio ya Bluetooth zile za kichina .
kwa shariti la kupewa mzigo mpka sasa iv simu zangu apokei na wala msg zangu ajibu .

Apa nasubiri jioni ifike niende kwao nikadai changu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
mkuu jioni bado haijafikaa???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom