mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,600
- 21,912
Mkuu Mimi nimepata hasara pengine zaidi ya hyo.Wahenga walisema "usiwekeze saana kwa mchumba, mpe hela ambayo unajua hata mkiachana haitakuuma." Nina ndugu yangu alimhudumia mwanamke zaidi ya 20 millions anavyosema ila sio pesa ya kutoa kwa pamoja ni zile za umemnunulia simu leo, kesho anataka laptop ya 600k+ mwezi ujao kodi ya pango imeisha nayo 240k+ mara nguo viatu nk (na vitu kama simu likija tolea jipya au jamaa akinunua simu mpya demu akiipenda anachukua sijui zile nyingine alikua anauza au anawapa mashoga zake au wadogo zake) × miaka labda mitano au 7+ ya mahusiano mwamba alichunwa mno. Anabakia kulalamika tu. Na mwanamke ashaolewa na mwingine. Never mchumba hahudumiwi kama mke na hasomeshwi
Nimezungumzia cash ya bank niliyotuma kwa slip 1.8.Milioni.
Bado zile nampa cash anakwenda nazo chuo..
Simu ndy usiseme kubadilisha kila muda tukionana.
Mara kuna friend Wangu anakuja huko dar mpe hiki.
Hizo laptop ndy ilikuwa kama deni nanunuwa.
Nakumbuka nilikuwa nikija na viatu toka SA nauza 15000.
Nikija na pairs 70 napunguza 30 pairs nampa auze chuoni kwao.
Na ukiangalia wakati huo kiwanja mbezi ni laki 5.
Kibaha ni laki tano kwa hekta,
Ningekuwa wp kwa sasa?
Hapo ndy naumia sn kwa huyu dada.
Alaaniwe popote alipo..