wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,865
Motivational speakers bana.Ukihonga lazima ujutie,maana unatumia nguvu kupata kitu,
Kama unatoa tu kwa moyo safi,wala huwezi kujutia maana unapata thwabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Motivational speakers bana.Ukihonga lazima ujutie,maana unatumia nguvu kupata kitu,
Kama unatoa tu kwa moyo safi,wala huwezi kujutia maana unapata thwabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisoma vibaya hapo kwny Mirinda nikaona Marinda, samahani lkn.Kama mimi,nimesambaza mirinda mtaa mzima Maana nilisha tia nia[emoji1545]
Simba wamejjtahidi bana
Nasubiri tarehe 30
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki 1 wapi wkt mwenzao mmoja aliyekua bingwa wa biashara za madini aliliwa kwny pagala tu.Kabisaaaa...kwanza hamna ata shida ya kutongoza siku hizi...wee mwambie ataje dau lake ule mbususu basi.
Kwa hawa wa jf nasikia kima cha chini ni laki moja....labda watueleze kama kuna ukweli kwenye hilo
Nani huyo kaliwa kwenye pagala 🤣🤣🤣🤣Laki 1 wapi wkt mwenzao mmoja aliyekua bingwa wa biashara za madini aliliwa kwny pagala tu.
Ikawaje jamaa akuoa huyo demu?Wahenga walisema "usiwekeze saana kwa mchumba, mpe hela ambayo unajua hata mkiachana haitakuuma." Nina ndugu yangu alimhudumia mwanamke zaidi ya 20 millions anavyosema ila sio pesa ya kutoa kwa pamoja ni zile za umemnunulia simu leo, kesho anataka laptop ya 600k+ mwezi ujao kodi ya pango imeisha nayo 240k+ mara nguo viatu nk (na vitu kama simu likija tolea jipya au jamaa akinunua simu mpya demu akiipenda anachukua sijui zile nyingine alikua anauza au anawapa mashoga zake au wadogo zake) × miaka labda mitano au 7+ ya mahusiano mwamba alichunwa mno. Anabakia kulalamika tu. Na mwanamke ashaolewa na mwingine. Never mchumba hahudumiwi kama mke na hasomeshwi
Duh noma sana mkuu. Huyo kweli kwako alikuwa kazini. Maana hakuwa na huruma hata kidogo na weTena aliniacha kinyama Sana,
Kuna simu yake fulani iliharibika kioo,
ikabidi anipe nimbadilishie kioo,
Baada ya simu kupona, nikagunduwa madudu mengi Sana kwake kupitia phone's sms ambazo zilibaki kwenye simu yake.
Baby mbona Jana nimekuwekea chakula lakini umesusa ?
Najuwa hunipendi Ila mimi nakupenda Sana kuliko mwanaume yeyote..
Hakika wewe ndy chaguo langu.
Moja Kati ya sms zake niliizozikuta kwenye simu yake ,
Kwa kwl niliumia sn..
Nikiangalia hata pesa ya Kodi ya chumba anapoishi nalipa Mimi.
Baada ya kucopy namba ya yule jamaa mlengwa ,,
nikaamua kumpigia simu,
Jamaa akafunguka kwamba hana mipango na yule demu zaidi ya kugegeda tu.
Nikarudi kwa yule mrembo wa chuo kumpigia simu.
Nikamuuliza kuhusu SMS na nimempigia jamaa amekiri kuwa na mahusiano.
Kabla hajakaa simu yangu
Akaniambiya ,,
Sasa Mimi nikusaidiaje kwa Mfano?
Ndy mwisho wa mapenzi yetu hadi sasa mwaka wa 11 sijawahi kumuona hata kwa bahati mbaya.
Na kudisco juu, still demu katembea?Dilidisko yeye akaendelea. Naskia ameshaolewa na ana watoto wawili
Hata mm najiuliza wanawezaje? Wanapewa nn mpaka wafanye yote hayo?Dah nyie mna moyo aisee laptop umnunulie demu[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Sasa si mmeachana? Anachukua vya kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Nilipewaga simu(BlackBerry) ya kuslide enzi hizo eeh tulivoachana akanipokonya. Mapenzi haya[emoji23][emoji23]
Bwana sijui wenzetu wanapendaje.Hata mm najiuliza wanawezaje? Wanapewa nn mpaka wafanye yote hayo?
Ila mkuu,,elewa kuwa kwenye mapenzi ya kweli kuna huruma ndani yake.Wahenga husema "mwenye huruma hana bahati" usijipe majukumu ya mzazi aisee mambo ya kumsomesha sijui kumlipia kodi sijui na nini hayo yana wahusu wazazi wake. Kwangu manzi akileta swaga za sijui nisomeshe sijui nina shida ambayo nikifikiria na kuwazua ni.mambo yake na familia yake mm sitoi kwanza sina hiyo huruma. Wanawake wanataka akili tu na sio kuwapa kila watakalo utalia. Na huwa wanakujaribu km akiomba mara ya kwanza ukachomoa hakuombi tena ila kama akiomba unatoa mzee umeruhusu mtu awe yatima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukran sn mkuu,Mkuu pole saana. Mm katika kukua kwangu niliyoshuhudia mitaa niliyoishi ndiyo yaliyonifanya nisione huruma ya kummpa mwanamke lila atakacho asipp rizika na kidgo kikubwa apewe na wazazi wake. Yaani tukutane ile kunyanduana apewe nauli km ni.mchumba wa kuoa aisee shida zake aanzie kwa wazazi wake zile kubwa. Mm nitamhudumia kwa ukubwa nikimuoa.
Shukran mkuu,,Pole rafiki.
Shukran sn mkuuDuu pole
[emoji23][emoji23][emoji23] duh!pole zake.
Ni aina fulani ya biashara shem, unapewa..Ila na wewe utatoa/unatoa. Anayekupa anahesabia utazilipa kwa namna nyingine [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Jana nimetoka kuhonga kidumu cha mafuta ya kupikia ya korie
Kiukweli roho inaniuma na mwili unatetemeka miguu imekufa ganzi
Na nimepata homa ya ghafla hapa nilipo hamu ya kula sina nashindia maziwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Laki 1 wapi wkt mwenzao mmoja aliyekua bingwa wa biashara za madini aliliwa kwny pagala tu.
Hatari sn mkuu.Duh noma sana mkuu. Huyo kweli kwako alikuwa kazini. Maana hakuwa na huruma hata kidogo na we
[emoji1787] Jf ni pahala pa kuwa mtulivu sana ukijidai dai humu wahuni wanakulipua.Nani huyo kaliwa kwenye pagala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]