Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

Nina jamaa yangu mmoja alikuwaga na demu toka nyanda za juu kusini. Jamaa alikuwaga chap Sana kwenye kutoa. Demu akikohoa tu, jamaa anarespond.

Zikaja tetesi kuwa demu wake anatoka na jamaa mwingine. Mshkaji akabisha. Wadau wakamchorea mchoro, siku hiyo kwenye movie cinema Mlimani City, jamaa anashuhudia demu wake analiwa mate mle ndani. Uzuri jamaa hakupanick, akawashtua kistaarabu tu, kuwa humu tumekuja kuangalia movie, mambo yenu kafanyieni gest.

Demu alikosa amani baada ya kumuona jamaa ndio yupo viti vya nyuma yao. Sisi hatukumaliza movie, tukasepa. Kesho yake jamaa anaenda serikali ya mtaa anaokaa demu, akawaelezea hali halisi ilivyo, then akaomba akachukue vitu vyake tu. Yule demu akaitwa kwanza ofisini, then ndo wakaondoka wote kwenda anapokaa demu ili jamaa achukue vyake.

Sisi wote tulijua jamaa anaenda kuchukua nguo zake na viatu. Ila Cha ajabu, jamaa alichukua hadi nguo alizomnunulia demu, viatu, chupi n.k. Mpaka mjumbe akawa anaulizia sasa hizi chupi unachukua za Nini? Jamaa anajibu simple tu, kuwa huyu anamtu mwingine, nikitoka atamletea vyote hivi.

Jamaa alimsafisha kiasi kwamba demu jeuri ilikata, akawa anaomba msamaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchizi aliupiga mwingi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aise umenifungua macho kumbe naweza kumuhonga demu alafu namlia timing tuu akipelela mbususu kwengine mie naja kuchukua vyangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa alivyoniambia anafata vitu vyake, sikumuamini. Binafsi nilimsindikiza kwasababu za kiusalama tu. Ila ujasiri wa jamaa ulinishangaza Sana. Jamaa alibeba hadi gauni lilikua limeanikwa kwenye kamba, halijakauka vzr
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa alivyoniambia anafata vitu vyake, sikumuamini. Binafsi nilimsindikiza kwasababu za kiusalama tu. Ila ujasiri wa jamaa ulinishangaza Sana. Jamaa alibeba hadi gauni lilikua limeanikwa kwenye kamba, halijakauka vzr
Lazima demu alipatwa na butwaaa.
Ila inauma nasa umewekeza unamjali alafu demu anaenda kugawa mbususu na ukikumbuka kuwa kuna wakati wa kugegeduana ili chomoka na akirudisha mwenyewe ndio unaumia zaidi.

Wakina Kelsea na Evelyn Salt mkichepuka m.boo ikitoka msiirudishe wenyewe bwana
 
Hakuna jina la heshima analoitwa mhongaji tofauti na
BOYA, BUZI, CHIZI, FALA n.k

Bora kuwa bahili utauacha moyo
Salama japo mpaka ulitambue hili uwe tayari umeikutana na kisanga Cha Hawa warembo
Akina rose merry utaishia kuwaita shemeji.

Ubahili na watoto wazuri ni mbingu na ardhi.
 
Binafsi sijawai kumhonga mwanamke kitu cha thamani kabisa wao ndio wananionga mimi kidume
 
Back
Top Bottom