Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Mbaya Sana hii
Wamfunge akitoka awe president kama Madiba
Niko njiani, Nina chupa ya maji tu , na nimeayaombea Saa nane usiku, Nina imani Sasa yamekua na nguvu kuliko yale ya vita vya majimaji, twenzetu wapenda haki, Mbowe sio GaidiNi Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya kubambikizwa Ugaidi...
Niko njiani, Nina chupa ya maji tu , na nimeayaombea Saa nane usiku, Nina imani Sasa yamekua na nguvu kuliko yale ya vita vya majimaji ,twenzetu wapenda haki, Mbowe sio Gaidi
nHivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Mama D BWANA,ndo ivyo wao mabom na MARISASI ,sie tupo na munguNimecheka sana haki🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeona polisi wengi sana city centre yote, nilishasahau leo ndio siku ya kesi.Acha Mbwembwe kamanda ingia Barabarani.
Nilitarajia kusikia baadhi ya Barabara jijini Dar es Salaam hazipitiki.
Yeah iko hivyo. Kuna misururu ya watu hukoNimeona polisi wengi sana city centre yote, nilishasahau leo ndio siku ya kesi.
Mwanamke kuwa na roho mbaya hivyo Kama wewe haipendezi!Thubutuuu
Maandamano mwisho twita na jf
An absolutely apt response! Very good.Kiongozi, Mdude alisamehewa na nani na alisamehewa kutoka katika hatia ipi? Kwa lugha hii, unamaanisha kwamba Mbowe anashikiliwa kama kisasi kwa maneno ya mdude? Utekelezaji wa azma hii ni kifungu namba ngapi cha katiba?
Naomba msiseme maneno mengine yanayoweza kuumba hasira kwa watu dhidi ya serikali. Hakuna serikali inaweza kuwa inakamata watu bila sababu, eti kwa kuwa kuna mtu fulani alisema maneno yasiyofaa. Kama mdude alinena vibaya, kwa nini hakuwajibishwa mwenyewe kw amakosa yake, badala yake atafutwe Mbowe? Unasema Mdude alisamehewa, alikuwa katiwa hatiani na chombo gani kwa kosa lipi na hukumu yake ilikuwa namna gani ambayo sasa akasamehewa?
Maneno mengine mnayoyaandika hapa, yanadhalilisha serikali yetu. Siamini serikali yetu inaweza kuwa na tabia za kiwango cha chini namna hiyo. Serikali ina mammbo mengi ya maana ya kufanya, na hatuna serikali iliyo inferior na insecure kiasi hicho. Hiki ni kiwango chako cha kufikiri na kutenda na ndiyo sababu huwezi kuwa kiongozi wa serikali wewe. Unatia aibu.
Acha kutisha watu wewe nchi sio ya kwako na kudai katiba sio uhaini .Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Mungu Mbariki Aikaeli MboweMbowe atasomwa ktk vitabu vya historia na wajukuuu zetu kama sisi tunavyo msoma mwl nyerere leo kuwa alikua kiongozi aliyeipigania tanganyika enzi hizo
Hata na wewe ni mjingamjinga tu Mana unachoandika ni Cha kijinga,kesi za kipuuzi ndo Mana nchi Haina hata MAENDELEO Mana viongozi wenu ni waonevuHalafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?