Mimi siyo mwanasheria! Ila ukiyaangalia hayo mashtaka, unao upna kabisa ni ya kitoto! Na sidhani kama yana mashiko. Yaani tsh laki 6, ndiyo iweze kutumika kulipulia vituo vya mafuta! Kuweka miti barabarani 😁😁😁, eti na kulipua mikusanyiko ya watu!!Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
UPDATE: Mashtaka
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wamesomewa maelezo ya mashtaka mbalimbali yanayowakabili ikiwemo la kutaka kudhuru viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Upande wa mashitaka unasoma mashitaka kwa kusema kuwa; Halfan Bwire Hassan, Adam Hassan Kasekwa, Mohamed Abdallah Ling'wenya na Mhe. Freeman Mbowe wanatuhumiwa;
1. Freeman Mbowe anatuhumiwa kufadhili vitendo vya Ugaidi kwa kutoa shilingi za kitanzania laki sita ( 600,000). Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa Matumizi ya fedha hiyo ni kama ifuatavyo;
1. Kulipua vituo vya Mafuta
2.kulipua mikusanyiko ya watu
3.Kukata miti na kusambaza barabarani
2. Kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya
3. Watuhumiwa wote ambapo wanatuhumiwa kushiriki vikao na Kula Njama za kutenda Ugaidi
4. Mshtakiwa wa pili anashitakiwa kumiliki bastola yenye risasi tatu kwa ajili ya kutenda kosa la ugaidi.
5. Mshtakiwa wa tatu anatuhumiwa kumiliki nguo, begi na koti za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWT) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT.)
-
UPDATE: Mashahidi 24 vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake
Mashahidi 24 na vielelezo 19, wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Miongoni mwa mashahidi hao, yupo aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Boaz.
Hayo yameelezwa leo, Agosti 23, 2021 na upande wa mashtaka ukiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga akisaidiana na Ester Martin, wakati wakiwasomea maelezo ya mashaidi na vielelezo (Commital Proceedings) washtakiwa hao, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba.
Credit: Mwananchi
huyo namba 19 sio mimi aisee ni yuleeee mwingine mimi yangu ina space , hatari sana duh
Basi sawa maana nilijua hackers hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNadhani Mh. Mag3 alizingatia protokali, maana hiyo namba pendwa haina space pale.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Ukisikia watu wanaitwa nyumbu uwe unaelewaSabaya mlifurahia alivyopewa kesi ya uporaji wa laki tatu ila Mbowe kufadhili laki sita ila magaidi wakachome vituo vya mafuta ni ajabu.
Yani 600,000 ndo uwalipe watu wafanye kazi hizo kweli?Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
UPDATE: Mashtaka
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wamesomewa maelezo ya mashtaka mbalimbali yanayowakabili ikiwemo la kutaka kudhuru viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Upande wa mashitaka unasoma mashitaka kwa kusema kuwa; Halfan Bwire Hassan, Adam Hassan Kasekwa, Mohamed Abdallah Ling'wenya na Mhe. Freeman Mbowe wanatuhumiwa;
1. Freeman Mbowe anatuhumiwa kufadhili vitendo vya Ugaidi kwa kutoa shilingi za kitanzania laki sita ( 600,000). Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa Matumizi ya fedha hiyo ni kama ifuatavyo;
1. Kulipua vituo vya Mafuta
2.kulipua mikusanyiko ya watu
3.Kukata miti na kusambaza barabarani
2. Kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya
3. Watuhumiwa wote ambapo wanatuhumiwa kushiriki vikao na Kula Njama za kutenda Ugaidi
4. Mshtakiwa wa pili anashitakiwa kumiliki bastola yenye risasi tatu kwa ajili ya kutenda kosa la ugaidi.
5. Mshtakiwa wa tatu anatuhumiwa kumiliki nguo, begi na koti za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWT) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT.)
-
UPDATE: Mashahidi 24 vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake
Mashahidi 24 na vielelezo 19, wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Miongoni mwa mashahidi hao, yupo aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Boaz.
Hayo yameelezwa leo, Agosti 23, 2021 na upande wa mashtaka ukiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga akisaidiana na Ester Martin, wakati wakiwasomea maelezo ya mashaidi na vielelezo (Commital Proceedings) washtakiwa hao, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba.
Credit: Mwananchi
Unambiwa nchi hii inakimbia gia zina badilika any time mpka kilimani gari linabalishiwa gia.Mbona Jamhuri inatupeleka raia kwa kasi hivi, amefikishwa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi tena na sio kesi ya ugaidi???
IGP Sirro na cabinet yako mungu anawaona.
Nadhani utalitolea ushahidi hiloMbowe aliponzwa na kauli kama hizi pia, kwamba "mahakama ikishindwa kumshughulikia nitamshughulikia mtaani"
Najua kilichompoza sabaya.
Hili alilisema hadharani, nafikili ni ule ujinga wa kutokujua sheria.Nadhani utalitolea ushahidi hilo
🤣 🤣 🤣🤣 Karibu tenaHili alilisema hadharani, nafikili ni ule ujinga wa kutokujua sheria.
Ule ushahidi uliyokuwa utolewe na Mwigu Madilu?Unaukumbuka ule ushahidi wa Lwakatare?.
Mbowe siyo gaidi kina chose banish a Mbowe aitwe gaidi ni ile misimamo yake kisiasa.Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali.
UPDATE: Mashtaka
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wamesomewa maelezo ya mashtaka mbalimbali yanayowakabili ikiwemo la kutaka kudhuru viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Upande wa mashitaka unasoma mashitaka kwa kusema kuwa; Halfan Bwire Hassan, Adam Hassan Kasekwa, Mohamed Abdallah Ling'wenya na Mhe. Freeman Mbowe wanatuhumiwa;
1. Freeman Mbowe anatuhumiwa kufadhili vitendo vya Ugaidi kwa kutoa shilingi za kitanzania laki sita ( 600,000). Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa Matumizi ya fedha hiyo ni kama ifuatavyo;
1. Kulipua vituo vya Mafuta
2.kulipua mikusanyiko ya watu
3.Kukata miti na kusambaza barabarani
2. Kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya
3. Watuhumiwa wote ambapo wanatuhumiwa kushiriki vikao na Kula Njama za kutenda Ugaidi
4. Mshtakiwa wa pili anashitakiwa kumiliki bastola yenye risasi tatu kwa ajili ya kutenda kosa la ugaidi.
5. Mshtakiwa wa tatu anatuhumiwa kumiliki nguo, begi na koti za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWT) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT.)
-
UPDATE: Mashahidi 24 vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake
Mashahidi 24 na vielelezo 19, wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Miongoni mwa mashahidi hao, yupo aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai nchini (DCI), Robert Boaz.
Hayo yameelezwa leo, Agosti 23, 2021 na upande wa mashtaka ukiongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga akisaidiana na Ester Martin, wakati wakiwasomea maelezo ya mashaidi na vielelezo (Commital Proceedings) washtakiwa hao, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba.
Credit: Mwananchi
Gaidi litakoma hiliGaidi ananyooshwa kwelikweli
Siasa ni mchezo wa kuigiza, haya mambo yalikua yanafamyika Zanzibar kila baada ya uchaguzi mkuu watu wanauliwa na wazanzibari waliitwa kuwa wanapenda siasa sasa magaidi ccm mmeona wanavyofanya unyama sasaivi ndio muamini ccm ni janga kubwa sanaYaani ulipe watu laki sita kwa ajili ya kufadhili ugaidi?. Aingii akilini. Mngeandika kingine kabisa. Nani apokee laki sita ajitwishe msalaba wa kufanya ugaidi. Hiyo pesa itamsaidia nini. Kweli mnaleta mahakamani vitu kama hivi. Mbona mnawapa mahakimu na majaji kazi ngumu hivi. Kupoteza mda, resorces. Mimi ninawashauri CCM kuliko kupata shida hivi badilisheni katiba tuwe na chama kimoja tuachane na huu usumbufu na tutaishi kwa amani.
Kwani kuna kesi nyingine mwajiandaa kubumbaa? Maana hii ya sasa labda mngewapelekea Law school Moot Court.Mbowe kumtukana magufuli atajutia sana ipo siku ataenda kulipigia kaburi magoti