KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

S

Subiri sasa muone namna Lengai Ole Sabaya atakavyo achiwa kwenye kesi yake na kuwa shahidi mkuu wa Serikali kwenye kesi hii inayomkabili Mtuhumiwa wa UGAIDI, Mwenyekiti Mbowe na wenzake na hapo ndipo watu watashangaa na kumkubali Ole Sabaya kuwa utetezi wake ni wa ukweli kwenye kesi yake huko Arusha.
Kwa kwa empty tin za tiss na ccm wanadhani nchi hii ni ya mama zao mbona wamejikoroga sabayaa criminal ndio sampuli sawa na samia tunawangoja wajisiribe kinyesi
 
Sabaya mlifurahia alivyopewa kesi ya uporaji wa laki tatu ila Mbowe kufadhili laki sita ila magaidi wakachome vituo vya mafuta ni ajabu.
Sabaya mfiraji mbakaji muuwaji shetani wa mashetani kwa ushahidi wa watu ni wakugungwa jiwe na kutupwa baharini hastahiri kuishi
 
Kwa kwa empty tin za tiss na ccm wanadhani nchi hii ni ya mama zao mbona wamejikoroga sabayaa criminal ndio sampuli sawa na samia tunawangoja wajisiribe kinyesi
Kawaida yangu huwa siingii kwenye malumbano kama haya ya matusi. Nilishavuka hatua hii, wewe siyo wa kukujibu. Pole na hongera kwa tabia hii.
 
Yaani mtu mwenye akili na kiongoz mkubwa wa upinzani wa Tanzania anaewindwa na ccm, serikali na teeth mda wote atumie wavuta ganja kufanya Ugaidi kwa sh. 600000 kweli Ugaidi na magaidi yanadharauliwa na kutukanwa Sana tanzania

Kiasi cha pesa kinachodaiwa kutumika kisikuumize kichwa. Terrorism inaweza kutekelezwa hata bure or with minimal financial support.

Sometimes, all you need is a brainwashed nyumbu and a fire arm. Hiyo laki sita inaweza kununua petrol ya kutosha kuchoma sehemu nyingi sana!
 
The amount of money is not an issue, any amount can aid terorrism , the issue is how do you prove the sum was used for that purpose?
Aibu kwa mabazazi Mam.a Samia ni mshamba aliyejaa roho ya kishetani ataitwa mahakamani aje athibitishwe nani alihukumiwa mwaka jana mafala wakubwa
 
Kiasi cha pesa kinachodaiwa kutumika kisikuumize kichwa. Terrorism inaweza kutekelezwa hata bure or with minimal financial support.

Sometimes, all you need is a brainwashed nyumbu and a fire arm. Hiyo laki sita inaweza kununua petrol ya kutosha kuchoma sehemu nyingi sana!
Kwa kwa stunt brains
 
Mkuu unafikiri nyumba unayokaa inahitaji petrol na kiberiti cha Shilingi ngapi kukuangamiza na familia yako? Laki 6 inaweza nunua madumu mangapi ya petrol na kuuwa wangapi au kuchoma Filling Stations ngapi. Hapo ndipo utajua impact ya laki 6 kwenye ugaidi. Gaidi ni mtu hatari sana
Kwa kwa empty tins you can just tell
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli na mateso ya Sabaya vitamtesa sana gaidi Mbowe
Vile mwendakuzimu amefurahia comment yako hii kutokea huko kuzimu.
AYrClH-.jpg
 
Back
Top Bottom