Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Sina hakika na hilo, ila mbunge wa sasa wa Ukerewe anatokea Ukara, ni mbunge toka CHADEMA, nashangaa kwa nini yupo kimya sana bungeni.
unajua kwanini yupo kimya, waliomzunguka wote ni ccm, hata akiimplement kitu lazma ccm watakikwamisha tu kisa upinzani, unakijua chama chetu na upinzani, upinzani wanauona kama ni ushetani
 
Nishaenda Irugwa (Ukerewe), Rukuba (Musoma Rural), Maisome (Buchosa, zamani Sengerema), Kerebe (Muleba), Goziba (Muleba), Bumbure/Mahaiga (Muleba), Ikuza/Kasenyi (Muleba) na Iramba/Murumo (Muleba).

katika visiwa vyote hivyo, Goziba, Kerebe na Iramba vina mandhari nzuri sana.
du wewe kweli umeshazunguka hivyo visiwa
 
Nyumba ya Mongela ipo barabarani tu, katumia interlocking bricks, imetoka poa sana, kanyanyua na bendera ya chama chake. Nyumba ya Msekwa sijawahi iona, ila naambiwa ndio nyumba inayotumiwa kama kulaza maraisi wakifika Ukerewe.
nyumba yake ya mwanzo ni ya kawaida tu ipo kijiji cha bugombe (msekwa), ana secondary yake inaitwa pius msekwa, nyumba unayosema wewe ipo kijiji cha nkilizya ila nilisikia fununu ila sina uhakika kuwa kauzia serikali hiyo ndio wanalala wakubwa wakienda kule, hii ni bomba sana
 
Nadhani Mwalimu alichagiza kwenye ile hotuba sababu kanda ya ziwa ukisema Ukara, moja kwa moja akilini watu wanawaza ndumba, inshort hawa jamaa walisifika sana kwa ndumba enzi hizo.
walishamjaribu na wakamuweza, hakurudi tena mpaka anang'atuka na kufa
 
nyumba yake ya mwanzo ni ya kawaida tu ipo kijiji cha bugombe (msekwa), ana secondary yake inaitwa pius msekwa, nyumba unayosema wewe ipo kijiji cha nkilizya ila nilisikia fununu ila sina uhakika kuwa kauzia serikali hiyo ndio wanalala wakubwa wakienda kule, hii ni bomba sana
Na mimi niliskia hivyo lakini inasemekana hajaiuza ila serikali iliingia naye makubaliano maalum kuwa wanaitumia pale wanapopata ugeni wa kitaifa!

Kawaida familia ya msekwa hawaishi pale zaidi ya wafanyakazi ambao wanaiangalia hiyo nyumba!

Siku hizi imekuwa eneo maarufu kwa ajili ya kupigia picha kwa maharusi kutokana na mandhali yake murua
 
Nmetoka Mwanza mchana na kufika Nansio Ukerewe jioni, hapa ntalala na kumalizia safari yangu kesho.
Kwa sasa Nyehunge kaleta ferry mpya, kaipa jina la Nyehunge II, ina class tatu, VIP, First Class na Second Class. Naona safari ya Nansio imefanywa ni ya kuvutia sasa tofauti na zamani.
ila lina speed ya konokono
 
mweeh.................
ivi mpaka karne hii kuna watu wanaojisifia kuwa na uchawi?
afu sijaelewa unatupa jani likirudi linarudi kama mambo? what does the word "mambo" mean?
wanadumisha mila
 
Ahsante sana ndugu kwa kunipeleka nansio coz toka nitoke huko almost 30 years cjakanyaga huko shukrani sana pia nitafurahi zaidi ukituletea na picha za ukara
aisee 30 yrs, duu umeasi kwenu, njoo uone nansio ilivyobadilika, sasa kuna mchanganyiko wa makabila, ukerewe imepiga hatua sana kimaendeleo na inazidi kukua, nipo huku kwa sasa naona wazungu kibao wakifanya bike tours vijijini, nilishuhudia wengine wakisonga ugali na wanakijiji tena wa harusi pata picha, rudi kaka
 
ni mwarabu/mhindi wa hapa Mwanza, anajulikana kama Nyehunge, sielewi why alibrand vyombo vyake kwa jina hilo sababu kuna sehemu inaitwa Nyehunge pia, anamabus ya kwenda Buchosa, Sengerema, Moro/Dar na vivuko.
nasikia kuna mkono wa kigogo mkubwa tu serikalini na ndio maana zilipoletwa zile mv kipepeo zilikuwa zinatumia saa 1, zilifanyiwa figisu figisu mpaka zikapigwa chini ili wazidi kukamua, huyo nyehunge kwa hizi za ukerewe ni mgongo tu
 
Mh!! Sasa hayo majani naona bonge la dili na inabidi hiyo miti ipandwe mingi ili kuvutia watalii
kwa sasa huo mti uko mbali sana na ufukwe kutokana na kina cha maji yabziwa kupungua haupo tena majini, hivyo hiyobzana ya jani likidondoka majini linageuka mamba hakuna tena nadhani mwenye huo mti alishakufa na hakuacha formula kwa kizazi kijacho, ila mti upo na haupo kando na ziwa kama zamani kwa sasa upo juu kabisa na wala sio ufukweni
 
Back
Top Bottom