Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Katika kisiwa cha Ukara, nadhani ni malelema tu ndio kutakuwa na ngono zembe, huko kwingine sidhani kabisa.
Kwa ujumla vijiji/visiwa vinavyojihusisha na uvuvi, pombe na ngono ndio habari yao, ukiona makreti ya bia yanayoingizwa kila siku na idadi ya watu utashangaa. malaya walioshindikana mijini huko ndio machaka yao, yani wavuvi wanaondoka na ukimwi hatari.
Umesema ukweli mkuu haya ndo niliyoyashuhidia
 
Moja ya hotuba za Kambarage aliwataja hawa jamaa...jinsi alivyowazungumzia dhahiri ilionesha analizungumzia kabila duni sana...
".....mkaara?!!...."
Nadhani Mwalimu alichagiza kwenye ile hotuba sababu kanda ya ziwa ukisema Ukara, moja kwa moja akilini watu wanawaza ndumba, inshort hawa jamaa walisifika sana kwa ndumba enzi hizo.
 
Ukirudi nansio karibu hamukoko ulizia kwa Kuluchumila Makene
 
Mkuu tuwekee na picha za hao machangudoa wa UKARA.
Hadi kijiji cha malelema ndio utakutana na hao viumbe, inshort hawajitembezi kama ilivyo Villa Park (Mwanza) au Kona Bar (Sinza). Wa huku utawakuta ni wahudumu wa bar bubu, so ukihitaji huduma unapata muda wowote. Katika visiwa vingine unaweza fika ukakuta vyumba vya guest house zote zimejaa malaya, hapo inabidi utumie hata mwenyekiti wa kijiji akuombee chumba mmoja atoke wewe uingine. Wakishajimilikisha chumba ina maana unachapa unasepa, anarudi mtaani, akipata mwingine wanaingia chumbani tena, hiyo ndio biashara ya dada poa visiwani.
 
Wakerewe hawaongei kikara wao huongea kikerewe ambayo lugha yao inaweza kufanana na lugha ya wahaya. Mfano ,kwa kihaya wanasema wabhonaki na wakerewe wanasema wabhokiha. Kwa kiswahili (Umeona nini)
Yego Mumilo tunasema wabhona kiha sio wabhokiha. Mumilo wa wapi wewe
 
Jamaa anaelichezesha huwa hataki msimame upande wake... Na watu kwa vile wameaminishwa ni miujiza, hukubali bila kuhoji.. Bahati mbaya wengine tumetokea kwenye Jamii ya watenda miujiza....kwetu kamati za ufundi ni kama Wacongo na muziki!!
Inasemekana jiwe lina equilibrium so kuna kijiwe wanaweka ili lisicheze, wakitaka kulichezesha ndio wanachomoa hiko kijiwe linacheza, siku nikifika huko ntawajuza zaidi.
 
Inasemekana jiwe lina equilibrium so kuna kijiwe wanaweka ili lisicheze, wakitaka kulichezesha ndio wanachomoa hiko kijiwe linacheza, siku nikifika huko ntawajuza zaidi.

Maadam umefika huko subiri uone kwa macho yako na siyo simulizi. Watu wakarimu kuliko. Wataalamu wa kilimo na ufugaji bora kuliko. Karibu nyumbani kijiji cha Bumiro.
 
Yego mabagala, nahaba kujandika kuzima lakini nimwomo, wasemezya. Oilihai go
 
Yego mabagala, nahaba kujandika kuzima lakini nimwomo, wasemezya. Oilihai go
Ndi darisalamu mwozowe, owetu ni hamukoko aliyo omumilo akwetwa kilongo mazina omumanya?
 
Nimefika kwenye hilo jiwe, ni usanii mtupu, hakuna kitu kinachoitwa miujiza. Jiwe hilo linacheza kwa sababu za kisanyansi na sio miujiza. Kwa ufipa wangu nilitaka niwachallenge kwa sayansi ya ufipa, nikakuta watupu mnoooo!
Position ya hilo jiwe ni sababu kuu ya lenyewe kucheza...
Jiwe lenyewe lazima lisukumwe ndipo licheze!
Sijui kwa nini watu wanaaminishwa tofauti na wanakubali!
Aaaah
Wakumwituu
Sasa mimi nimechanganyia Kate na Ukara
 
Sina hakika na hilo, ila mbunge wa sasa wa Ukerewe anatokea Ukara, ni mbunge toka CHADEMA, nashangaa kwa nini yupo kimya sana bungeni.
Ni uhakika mkuu, wakara wana asili ya kutojikubali na ni waoga

Ila wakerewe wapo confident na wanajitambua, si unamwona mama Mongela, Pius Msekwa, mwandishi Kezilahabi n.k
 
Back
Top Bottom