Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Pale ukerewe wanawake usipiwajulia huipati ng'o kila demu ukimuomba ile issue hakatai ila atakuambia "mpaka nencha", kesho ukikutana naye tena atakujibu hivyo hivyo, nilipokuja kugundua, kumbe dawa yao ndogo tu.....
Dawa yao ni nini mkuu
 
Wakati huo pale ukara ukimwambia anakwambia "Mpaka chijoeyane" Yaani mpaka tuzoeane

Dunia hii jamani ina mambo na vimbwanga vyake

Nenda kwicheyo,enyamanga,bubhanja niwo lata na mai bhasokelee.
Nendelewo si.
 
Naona hapo kwenye ramani kutoka ukara hadi ukerewe ni karibu sana! Ukaweza hata ukaruka au ukaweka daraja la gogo!
 
Ahsante sana ndugu kwa kunipeleka nansio coz toka nitoke huko almost 30 years cjakanyaga huko shukrani sana pia nitafurahi zaidi ukituletea na picha za ukara
umesomea kule hata elimu ya sekondari? duh aisee haujaenda kwenu ages!!! au ukoo ulihama kabisa?
 
Naona hapo kwenye ramani kutoka ukara hadi ukerewe ni karibu sana! Ukaweza hata ukaruka au ukaweka daraja la gogo!

Yaani wewe umenichekesha sana sana. Hata daraja la gogo linavusha hapo? Khaa!
 
Wazazi walihama huko toka miaka ya 80
vipi bibi na babu wajomba mashangazi kwenda kuwaona? au ndio isemekanavyo kulikua na ushirikina sana kiasi kwamba wazizi waliokuwa mijini waliogopa kupeleka watoto wao huko kusalimia? nakumbuka sisi wazazi wetu walikua wakitupeleka kijijini huko ziwani kila likizo ya december kuona mababu na mabibi ikawa kila december nakua mchunga ng'ombe
 
Bibi zangu na babu zangu wote walishafariki wajomba zangu na mashangazi nao walishafariki nimebaki na mama mkubwa anaishi Geita na baba mkubwa yupo nasa
 
Kwa ujumla Ukerewe kama Wilaya ina visiwa jumuishi 11...kutia ndani kisiwa cha Ukara. Wenyeji wa ukara hudhaniwa kuwa washirikina sana kuliko wakaazi wengineo wa Ukerewe.. Pengine ndio sababu kubwa ya kusema kuna jiwe linacheza.
Hata hivyo, yapo mambo flani ambayo yakitangazwa vizuri yanaweza kuwa kivutio cha watalii, tofauti na hilo jiwe ambalo limehodhiwa na ukoo mmoja kwa madai kwamba ndio wenye nguvu za asili za kulichezesha hilo jiwe.
vipi hali ya kimaendeleo hapo ukara?
 
Nimefika kwenye hilo jiwe, ni usanii mtupu, hakuna kitu kinachoitwa miujiza. Jiwe hilo linacheza kwa sababu za kisanyansi na sio miujiza. Kwa ufipa wangu nilitaka niwachallenge kwa sayansi ya ufipa, nikakuta watupu mnoooo!
Position ya hilo jiwe ni sababu kuu ya lenyewe kucheza...
Jiwe lenyewe lazima lisukumwe ndipo licheze!
Sijui kwa nini watu wanaaminishwa tofauti na wanakubali!
Ni sayansi gani mkuu?
 
Kwanza natoa pole kwa familia na sisi watanzania wote tulioguswa na ajali ya MV Nyerere huko Ukara.
 
Mkuu hebu elezea kidogo tu kuhusiana na MBUNYE za Ukerewe na huko Ukara, nina mpango wa kwenda kutalii huko soon.
 
Back
Top Bottom