unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Wakondya wasuBashite!!! Karubhu Pugu
Wakondya wasuBashite!!! Karubhu Pugu
Ulienda kununua dagaa mkuuDah ukaraaa? Nilipataga demu kule. Chumba guest self kabisa buku tano tu
Ilikuwa zamani now tunaenda bila shida elimu imewasaidia sanaKuna ndugu yangu kaolewa na mkara yani watoto wa wifi hawarudi kwao wakati wa likizo wakishafunga shule kisa watarogwa na wanakijiji wa huko
Ahsante mkuuHongereni wakerewe&Wakala kwa Uzi wenu, nimewapenda bure akina chimenyane.
Huko wako ndugu zangu ila wazazi wangu wote ni chibhasinaona Nyamanga na Chibasi mpo wengi humu, vipi Bukiko, Kome, Chifule, n.k
Yaaaah sebastian machele, babu zangu mzee january malima.Father bwile yupi ndugu yangu? Alikuwa na kakake anaitwa sebastian machele? Usijekuta ndugu halafu hatujuani
Yaaaah sebastian machele, babu zangu na wajomba zangu john na joseph ..Father bwile yupi ndugu yangu? Alikuwa na kakake anaitwa sebastian machele? Usijekuta ndugu halafu hatujuani
Huyo mjombako Joseph na shangazi yako silvia wako wapi?Yaaaah sebastian machele, babu zangu mzee january malima.
Yaaaah sebastian machele, babu zangu na wajomba zangu john na joseph ..
Father bwile yupi ndugu yangu? Alikuwa na kakake anaitwa sebastian machele? Usijekuta ndugu halafu hatujuani
Abhakonde bhone abasokeleyo, nangu utakumenya? [Abazhima bhona bakuluga okwo, nangu tokumanya?]


. Bhagambile wetu ( bhabwile wasu).Yaaaah sebastian machele, babu zangu mzee january malima.
Yaaaah sebastian machele, babu zangu na wajomba zangu john na joseph ..
Joseph yupo mexico na silvia marekani ..Huyo mjombako Joseph na shangazi yako silvia wako wapi?
Kweli ni kama kihaya, nnavyoskia wakerewe wa kwanza walitokea huko uhayani na walikuwa wasilanga .Mbona hii lugha kama kihaya, yaani nimeelewa kila kitu hapa.......
Nene leka nseke.Siga niseke( leka nseke).. Bhagambile wetu ( bhabwile wasu).
Huu ndo uzuri wa ukerewe, hapa tukiendelea tutafahamiana woteHuyo mjombako Joseph na shangazi yako silvia wako wapi?
Okay ww ni ndugu yangu bwana marehemu mume wa silvia alikuwa baba yangu mdogo mbe chimenyane uje inbox wasuJoseph yupo mexico na silvia marekani ..
Umeona eee mabagalaHuu ndo uzuri wa ukerewe, hapa tukiendelea tutafahamiana wote
Silvia, Devo, Maria enibhamenya silly aligaalio Tanzania mkwesi kwa kumi na kabhili ila atamekala sana nasubhao marekaniAwe uli wasu, Seba ni jaji na mkae Monica ( one chamsikile) ni kaka wani. Unique, Jose ali mekisiko na omuyala waye Syl aliyo omjaluo aliga akamile.
Ni huyo huyoMkuu Sebastian Machele! Aliyekuwa mwalimu. Kama ndo huyo basi alinifundisha shule ya msingi Gallu miaka hiyo. Daah! Humu nasoma mpaka nywele zinasisimka. Nyumbani kuzuri jamani!!