Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Kuna ndugu yangu kaolewa na mkara yani watoto wa wifi hawarudi kwao wakati wa likizo wakishafunga shule kisa watarogwa na wanakijiji wa huko
imani tu honeyfaith, mie mwenyewe nimezaliwa dar nimekulia zanzibar lajini nakuja mara kwa mara tangu nasoma secondary mpaka sasa nishakuwa na familia,
 
Umenikumbusha 'sifa zoooooote anazo lakini ahhh mkara,mkaraaa'-J.K Nyerere.
kuna sababu ndo maana maaba akasema vile, wakara zaidi watatujuza
 
kwa sasa huo mti uko mbali sana na ufukwe kutokana na kina cha maji yabziwa kupungua haupo tena majini, hivyo hiyobzana ya jani likidondoka majini linageuka mamba hakuna tena nadhani mwenye huo mti alishakufa na hakuacha formula kwa kizazi kijacho, ila mti upo na haupo kando na ziwa kama zamani kwa sasa upo juu kabisa na wala sio ufukweni
Mkuu huu mti upo au ulishakauka? Hebu fuatilia vizuri
 
Mbona hii lugha kama kihaya, yaani nimeelewa kila kitu hapa.......
chimbuko la wakerewe wametokea uganda na wakaja bukoba kwa vile walikuwa ni wavuvi wakafikia kisiwa flani kinaitwa kerebe kipo mleba, hatimae wakafika isiwa cha ukerewe, ambao ukerewe mwanzoni kilikuwa na jina lake, hawa watu kutoka kerebe walipofika huku wakaanza figisu figisu za kupigana na wenyeji unajua tena akina nyie kwa misifa, sasa walipo washinda wakazi kwenye vita vyao wenyewe kwa wenyewe wakatulia, hivyo wageni walikuwa wakifika wakuliza hapa ni wapi wanasema kerebe kutokana na chimbuko lao, hivyo mjerumani alipoanza tawala akawa anakiita kisiwa cha ukereve kwani mjerumani hana w, mwingereza alipokamata akakiita ukerewe mpaka leo ndio jina lake hilo
 
imani tu honeyfaith, mie mwenyewe nimezaliwa dar nimekulia zanzibar lajini nakuja mara kwa mara tangu nasoma secondary mpaka sasa nishakuwa na familia,

kuna sababu ndo maana maaba akasema vile, wakara zaidi watatujuza
Hii ntaifafanua baadae jioni
 
Ukizingua pande hiyo unatumiwa mamba hata kwenye kikombe cha maji ya kunywa..........
 
Ukizingua pande hiyo unatumiwa mamba hata kwenye kikombe cha maji ya kunywa..........
Hizo ni hadithi ambazo hata wewe hujawahi kuona zaidi ya kuskia kwa mtu ambaye naye hajawahi kuona
 
Umeelezea tu vizuri na p
chimbuko la wakerewe wametokea uganda na wakaja bukoba kwa vile walikuwa ni wavuvi wakafikia kisiwa flani kinaitwa kerebe kipo mleba, hatimae wakafika isiwa cha ukerewe, ambao ukerewe mwanzoni kilikuwa na jina lake, hawa watu kutoka kerebe walipofika huku wakaanza figisu figisu za kupigana na wenyeji unajua tena akina nyie kwa misifa, sasa walipo washinda wakazi kwenye vita vyao wenyewe kwa wenyewe wakatulia, hivyo wageni walikuwa wakifika wakuliza hapa ni wapi wanasema kerebe kutokana na chimbuko lao, hivyo mjerumani alipoanza tawala akawa anakiita kisiwa cha ukereve kwani mjerumani hana w, mwingereza alipokamata akakiita ukerewe mpaka leo ndio jina lake hilo
pia unaonekana historian waijua......ila pale ulipoliattack kabila langu nimekuona mpumbavu Wa kiwango cha barabara ya zege siyo lami
 
nilio'enu enibhin'ala amazinduke, chigodoli siku jinu jitaliyo, ila ol'anu abhanu chili kwilima, oumenya omweko gwaliga chenda chimala
Kala yaliga ilikisi kweli kweli jigodoli, blassband, ebugonyosi ntakumenya kama bado jilio jingoma ejo
 
hahahaha, unique dada awe, siga chilole, ila omugwe wejabho kamlinda kubhibhi nolwo chikaaika kutiki, kekosya ateyemo amagafu kumatwi, atakuungwa chinu
Anye enishangaa muno bhakabheye abhandi abhabulimishe kala kwakubha ni kipenzi chae ajibhiye jibhi
 
Umeelezea tu vizuri na p

pia unaonekana historian waijua......ila pale ulipoliattack kabila langu nimekuona mpumbavu Wa kiwango cha barabara ya zege siyo lami
Mtani hutaki kuambiwa ukweli au tuseme ndo unaongea kwa utani
 
ni mwarabu/mhindi wa hapa Mwanza, anajulikana kama Nyehunge, sielewi why alibrand vyombo vyake kwa jina hilo sababu kuna sehemu inaitwa Nyehunge pia, anamabus ya kwenda Buchosa, Sengerema, Moro/Dar na vivuko.
Nyehunge sengerema ndiko walikoanzia biashara
 
Au waweza ingilia bunda unapanda gari za kwenda kisorya, ukifika hapo unapanda ferry mpaka sehemu inaitwa ngoma, then unapata hiace za kwenda nansio, kisha tena unapanda hiace za kwenda bugorora, ukifika pale unapanda boti ( enzi za miaka ya 2002 hapakuwa na ferry) inaenda inatua kwanza sehemu inaitwa KWERU MKUNGU ( kweru mto haipiti), ndo kisha unaingia destination, UKARA kisiwa kinachoongoza kwa mamba
 
Pale kweru MKUNGU nilikaa mwka 2002/2003 kupata demu ilikuwa ni shida sana, ilikuwa ukimuona demu pale kisiwani ujue kuna mtu kafanya order toka sehemu nyingine ( toka ukerewe au nchi kavu), hivyo nilitoka bila kupiga papuchi
 
Pale ukerewe wanawake usipiwajulia huipati ng'o kila demu ukimuomba ile issue hakatai ila atakuambia "mpaka nencha", kesho ukikutana naye tena atakujibu hivyo hivyo, nilipokuja kugundua, kumbe dawa yao ndogo tu.....
 
Back
Top Bottom