Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Nasikia huko Kama ukipatana na demu mathalani utamlipa buku 10 baada ya kula papuchi yake, uhakikishe utamlipa la sivyo hautorudi au watakutumia mamba. Kule wanaweza kukutumia mamba hadi bafuni. Kimsing huko ni pazuri kama hautaleta mambo yako ya mjini mjini hasa utapeli
 
hizo ni stori tu mkuu, hayo mambo hayapo tena siku hizi.
 
Nimerudi Nansio tayari kwa kujongea Mwanza kwa Nyehunge Ferry ya mchana.
Nafurahishwaga sana na bango la chini hapo la Down Town Nansio.
Down Town Nansio UK.jpg
 
Kwa bahati mbaya boti ya serikari Mv. Nyerere leo ina hitilafu, engine zote mbili zimegoma, usafiri pekee ni boti za mbao. Utata umekuja baadae ofisa wa sumatra akilivyokataza boti za mbao kupakia watu bila life jackets, hadi tumeondoka Bwisya, Ukara, abilia wengi tumewaacha hapo.
Boti ya Mbao.jpg
 
Kaone lile jiwe linalocheza likiimbiwa na wazee wa mila!

Watu wanaangamia kweli Kwa kukosa kufanya tafiti.Kimekuwa Kizazi cha kuamini lolote linalosemwa.Mimi Ni Mzaliwa wa Ukerewe Na Nimekulia huko huko.Nilishatembelea jiwe hilo.Ni kweli linatikisika sio kucheza.Na kutikisika kwenyewe Ni mpaka litikiswe.Kuna Angle ambayo ukilisukuma taratibu lina-gain momentum Na kuendelea kutikisika au "kucheza". Mimi mwenyewe nilifanya kazi hiyo baada ya Mzee anayesadikiwa kuli-manage kukataa kutupeleka.Tukamchukua Bodaboda akatupeleka na tukalichezea jiwe hilo.Kilichopo Ni Kwamba jiwe hilo la " kucheza" liko Juu ya jiwe jingine.Kwa hiyo jiwe la chini lina-act kama Fulcrum au Pivot (egemeo).Hakuna cha ajabu kingine.
 
Nasikia huko Kama ukipatana na demu mathalani utamlipa buku 10 baada ya kula papuchi yake, uhakikishe utamlipa la sivyo hautorudi au watakutumia mamba. Kule wanaweza kukutumia mamba hadi bafuni. Kimsing huko ni pazuri kama hautaleta mambo yako ya mjini mjini hasa utapeli

Hadithi tu mkuu.Hakuna ukweli wowote ule
 
Wadau wengi mmejinasibu Nyamanga ndio home, mkikumbuka kanisa, soko na uwanja wa mpira kama reference zenu, nliamua chukua picha zake zipo chini hapa. Umeme unakuja Nyamanga kufikia mwisho wa mwaka, hivyo mjipange kuendeleza kijiji chenu.
kwa haraka haraka nliuliza why Nyamanga inaonekana kuwa na wasomi wengi ndani ya Ukara, nkaambiwa sababu mission (Catholic) ilianzia Nyamanga, hivyo wengi kufunguliwa akili na kuwekeza kwenye elimu za watoto wao.
Nyamanga Kanisa katoriki.jpg

Nyamanga_Uwanja_Soko.jpg
 
kwenda kuliona jiwe kwa sasa kuna masharti yake, unatakiwa lipa Tsh 17,000.00 kwa ajili ya kuliona hilo jiwe, pia Tsh 3,000.00 Kwa ajiri ya kumkodishia pikipiki wa kwenda kukuonyesha.
jiwe hilo ni njia ya kipato kwa familia inayolimiliki. familia hiyo ikiamini kuwa jiwe hilo lina symbolize mwana familia yao aliyepotea karne za nyuma huko, enzi za mababu. wakiamini kuwa jiwe hilo ndio huyo aliyepotea.
kabla ya kufika kwenye jiwe hilo, unatakiwa kuvua viatu.
Kuvua viatu.jpg
 
The dancing stone its self, siwezi weka video kwa sasa sababu zina size kubwa.
The Dancing Stone.jpg

Pia kuna nyayo za watu wa zamani katika haya mawe, ambayo wenyeji wanaamini baadhi ya nyayo ni nyazo za huyo anayekuwa symbolized kuwa ndio hilo jiwe.
 
sasa naanza kumwelewa trump kwanini alikuwa analalama afrika itawaliwe tena. karne hii bado kuna wanaoabudu mawe?? kaazi kweli!
 
sasa naanza kumwelewa trump kwanini alikuwa analalama afrika itawaliwe tena. karne hii bado kuna wanaoabudu mawe?? kaazi kweli!
mkuu hilo jiwe wageni hawaendi abudu, bali huenda kuona na kujua whats going on na hizo story, na ukifika hapo utajua kila kitu. Sema sijataka kuwa wa kuongelea hilo hapa. Watalii mbali mbali hufika kwenye hilo jiwe kuliona, last week naambiwa kuna wanafunzi 10 kutoka Germany walifika pia kuliona hilo jiwe. Kwa kifupi ni jiwe la kihistoria na sio la kuabudia. Ni sawa sawa na kwenda kuona kabuli la Nyerere, Au mnara wa waanga wa MV. Victoria. Kilichopo hapo sio miujiza.
 
sasa naanza kumwelewa trump kwanini alikuwa analalama afrika itawaliwe tena. karne hii bado kuna wanaoabudu mawe?? kaazi kweli!
Mkuu kumbuka kuwa hao ni wapagani, na huyo ndo mungu wao, sio huko tu bali ni maeneo mengi sana watu wanaabudu miungu! Huko india kuna watu wanaabudu ng'ombe kama mungu wao! Hao nao utawasemaje?
 
mkuu hilo jiwe wageni hawaendi abudu, bali huenda kuona na kujua whats going on na hizo story, na ukifika hapo utajua kila kitu. Sema sijataka kuwa wa kuongelea hilo hapa. Watalii mbali mbali hufika kwenye hilo jiwe kuliona, last week naambiwa kuna wanafunzi 10 kutoka Germany walifika pia kuliona hilo jiwe. Kwa kifupi ni jiwe la kihistoria na sio la kuabudia. Ni sawa sawa na kwenda kuona kabuli la Nyerere, Au mnara wa waanga wa MV. Victoria. Kilichopo hapo sio miujiza.
Mkuu tena umenikumbusha uliposema wanafunzi kutoka German walikuwa pale, na niongezee tu kuwa ni wanafunzi wengi sana kutoka nchi za nje huenda pale kuangalia uhusiano wa kisayansi uliopo unaohusisha hilo jiwe na kucheza kwake!

Department of geology ya UDSM wamekutana na case hizi nyingi sana maana wanafunzi wengi baada ya kutoka kwenye hilo jiwe hupita pale kupata ufafanuzi zaidi
 
Back
Top Bottom