Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Nmetoka Mwanza mchana na kufika Nansio Ukerewe jioni, hapa ntalala na kumalizia safari yangu kesho.
Kwa sasa Nyehunge kaleta ferry mpya, kaipa jina la Nyehunge II, ina class tatu, VIP, First Class na Second Class. Naona safari ya Nansio imefanywa ni ya kuvutia sasa tofauti na zamani.
 
mweeh.................
ivi mpaka karne hii kuna watu wanaojisifia kuwa na uchawi?
afu sijaelewa unatupa jani likirudi linarudi kama mambo? what does the word "mambo" mean?
 
Kuna kijiji cha Kome kilichopo katika kisiwa cha Ukara na kuna kisiwa cha Kome kilichopo wilaya ya Sengerema.
Nyakalilo sina uhakika nacho.
Nakumbuka tulitembelea uko nikiwa mdogo tulipanda Mv Clarius, na kuna sifa kama zinazosemwa hapo juu I mean kambi za uvuvi na vimbwanga vyake.
 
Wazawa wa ukara ni watu wanaoongoza kwa usiri na wana IQ kubwa kuliko makabila mengine yapatikanayo Nchini mwetu.
Inasemekana wengi wao wanatumika sana na ''watu wa suti nyeusi''
Kwa utafiti wangu mwembamba kinacho wafanya wawe na uelewa mtambuka ni kutokana na ulaji wa vichwa vya sato na kamongo!
 
Usisahau pia kufika Bwilo, Goziba, harwego, rubya ,Selema, masonga na chankamba
Mkuu, Goziba si ni kisiwa cha Kagera?
Useme visiwa vya Ghana, Izinga ukitoka hapo nakumbuka ndiyo unaenda Goziba. Au?
 
Nansio Ukerewe

Nansio Ukerewe Arrival2.jpg
 
Back
Top Bottom