Mateja M.G Yango
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 613
- 1,097
- Thread starter
- #101
Mamba huyo anayeishi majini.mweeh basi tena mamba huyu anayeishi majini ama mamba gani?
Wakara ni watu poa sana, waliosoma wako njema sana kichwani, hasa kwenye science. Hizi myth za uchawi ni majo a jamii ya zamani, japo yanaweza kuwepo kwa uchache siku hizi. Zamani jamii nyingi zilikuwa na uchawi wa hatari, ndio maana unaweza kuta watu wakipata maendeleo kidogo wanakimbia Ukara na hawarudi kujenga kwao wakiogopa ndumba.